Anna Kilango amlipua Maige; Atoa CD zinazoonyesha madudu yake

Hongera mama ila siku hizi uko kimya kidogo!! Kile kikaoa waliwasema msitimue tena vumbi au? Wakikufukuza mjoooo!!! kwani una njaa gani wakati wewe ni mfanyabiashara, she is well off na hakufuata hela kwa mzee Malecela bali ni katika kuzeeshana tu wakuu? Keep it up madam.
 
athari za uchimbaji madini jimboni kwake ,,, na ameomba kusimamaisha uharibifu unaofanyika shengena na kuurudisha msitu kwenye hali yake ya kwanza,, amesema kuwa watu wanasema yeye ni mkali na yeye ni mkali ,, kweli si mchezo na amejifananisha na united nations,, mbuge huyo wa same mashariki ametoa onyo na masikitiko kwa serikali,, kuhusu athari za machimbo na uhariifu wa vyanzo vya maji kwa wananchi wa same,, na amesema hiyo filamu inahusu athari za machimbo,, jimboni kwake na amesema sinema hiyo ataipeleka kwa rais wazir mkuu na spika
Mpuuzi mkubwa huyo. Mbona makamanda akina Tundu Lisu wakati wakipambana na uharibifu uliokuwa unafanywa na Barick North Mara yeye alikaa kimya na baadae akagonga meza kushangilia majibu ya hovyo yaliyokuwa yanatolewa na srikali.
 
sinema ya jet lee nini?

Huyu mama ni mwanamazingaombwe kama alivyo mjukuu wake Mange Kimambi (mtoto wa Mwele). Hawa watoto malechela ni vituko vitupu wasanii kweli kweli. Huyu mama si ana kabinti fulani anayeitwa ikumbo, bintiye malechela, kama ni yeye basi inabidi ajionee aibu kwa sababu skendol zao ni mbaya zaidi. Mpuuzieni wakuu
 
Hana lolote huyo, harusi yake imefadhiriwa na JEETU PETEL, mtuhumiwa muhimu kwenye kesi za EPA na baadhi ya fedha alisingizia kuibwa pale Morogoro. Kumbe siri ikafichuka kuwa amemuingiza mjini mzee wa MTERA. Siyo mimi ni kauli ya Sophia Simba, mwenyekiti wa Umoja wa ma... wa CCM.

Hana lolote huyu amechemsha kwa Sophia Simba, na kupata nafasi ya uongozi ni ndoto labda Mama Simba asiwepo!

 
huyu mama ni mwanamazingaombwe kama alivyo mjukuu wake mange kimambi (mtoto wa mwele). Hawa watoto malechela ni vituko vitupu wasanii kweli kweli. Huyu mama si ana kabinti fulani anayeitwa ikumbo, bintiye malechela, kama ni yeye basi inabidi ajionee aibu kwa sababu skendol zao ni mbaya zaidi. Mpuuzieni wakuu
shigongo ++
 
Leo Mbunge wa Same mashariki ameiumbua serikali na watendaji wake ngazi ya mkoa Kilimanjaro na wilaya Same. Kwa kuendelea kukaa kimya huku mlima shengena ukiharibiwa na wawekezaji wanao chimba dhahabu na bauxite na kusababisha chemchem ya maji kuathiriwa na kemikali zinazotokana na madini hayo. Aidha amewasilisha DVD 3 ambazo ameziita cinema za uharibifu mazingira. Waziri mkuu alionekana kuduwaa wakati wote ambapo mama kilango alikuwa akiongea.



Binafsi mie naona ni porojo tupu za huyu mama. miaka yote ya uharibifu jimboni kwake alikuwa wapi mpaka ashtukie leo? au ndo hawa waliokuwa wanasubiria uwaziri ikitokea mabadiliko ya mawaziri? ila hao ndo nyinyiem bana.
 
mi tangu ashindwe kusaini ile ishu ya zitto kumwajibisha waziri mkuu, nimemshusha sana hana jipya. Na nyie wana same mashariki sijui mnangoja nini? PIGA CHINI HUYU MAMA. ndo wale wale tu. Mama kwa taarifa yako we ni CCM tu na 2015 you will boil in the same pot of your fellow CCM's.
 
ni kuhusu misitu, majangili wanaovamia misitu na dhahabu,, kwenye msitu wa shengena jimboni kwake,,, ambapo amesema ametoa filam kwenye msitu huo,,

mwacheni, Kilango hana tofauti ni mchawi anayewanga asubuhi saa mbili. Silly Season!
 
Back
Top Bottom