Anko michuzi kwa hili unaniaibisha bana

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Ankol kwa hili unaniaibisha bana angalia Timu ya kupiga picha we unapiga picha na akiyabu badala ya KOMBE
s3.jpg
 
WABUNGE WAIULIZA SIMBA HILI KOMBE AMA KITABU CHA CHINUA ACHEBE
s2.jpg
 
pdidy nawe umezidi visa kakuaibishaje sasa? ni kosa kupiga nao picha? naona yy shabiki wa simba mm mwenyewe nipo yanga lkn kama simba wameshinda tusiwe wachoyo kuwapa hongera bila wivu huku roho ikiuma.
 
Sasa wabunge hawana kazi za kufanya yaani hata vikombe vya mbuzi wanakaribisha, nadhani ingebaki wa timu zinazoshinda makombe ya kimataifa, next time wataitwa washindi wa safari pool champion
 
Embu mi niulize! Hivi wachezaji wetu hawanaga suti au hata suruali za vitambaa na mashati ya sehemu kama izi? Mana hata yanga waliingia bungeni na traki suti.
 
Sasa wabunge hawana kazi za kufanya yaani hata vikombe vya mbuzi wanakaribisha, nadhani ingebaki wa timu zinazoshinda makombe ya kimataifa, next time wataitwa washindi wa safari pool champion
<br />
<br />
Mimi naona mkuu kuna kitu hujakielewa, Simba wametwaa ngao ya jamii, wabunge ni wawakilishi wa wananchi ambayo ndio jamii ya Tanzania sasa Simba wamefanya baya gani kupeleka ngao ya jamii kwa wawakilishi wao?
 
p didy ni gamba gumu kama la chenge limefika kiunoni, hongera simba
 
Pdidy hapa una lako jambo, sikujua kumbe na wewe GAMBA?
hahahha simba bwana eeeti walipeleka KOMBE! duuuu! aibu hiii!
si wangesubili mwakani wapeleke kikombe kama cha KAGAME HV KAMA YANGA!
 
wabunge wa posho hao, wanaacha shughuli za bunge wanafanya vitu vinginene ili ku-prolong muda wa kuwepo mjengoni na kula posho...wako kishibudashibuda hivi!
 
piddy ninakuheshimu sana mwanangu ila kwa hili ni kama sikuelewi elewi vile.
 
Hapo mwana jf umeboiled yanga wamepeleka kombe la kagame kwa ushindi wa kubebwa kwa ushahidi sudan mechi zote wamefungwa 3-1
 
Ankol kwa hili unaniaibisha bana angalia Timu ya kupiga picha we unapiga picha na akiyabu badala ya KOMBE
s3.jpg
majasho ya nini bungeni?
bungeni ni mahali pa kuheshimu japo magamba wanataka kutuaminisha tofauti,sasa hawa na mechi yao moja siwaelewi kwamba wanaigana au imeshakuwa fashion.
mbona hata sura hazina matumaini?
mimi na shauri hata kama bungeni pamekuwa picnic muwe mnajiandaa hata kwa kujifua kama mamiss hapo hamueleweki mmefuata nini?
ananichekesha kaseja na bango lake,si nilisikia magamba wanataka kufuta maandamano?
mabango mtayabadilisha au mtasema ni marufuku kuingia bungeni kama huna kombe.
 
Back
Top Bottom