Angola kama Tanzania tu - Tume yake ya uchaguzi yafanya madudu, uchaguzi waharibika

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Kuna vurugu kubwa nchini Angola katika uchaguzi uliopangwa leo -- vyama vya upinzani vyasusia sababu orodha ya majina ya wapiga kura yaliyowekwa juzi yana kasoro kubwa, wengi wapigakura hawaoni majina yao na wengine yamehamishiwa vituo vingine vya mbali.

Kweli Miafrika ndivyo tulivyo -- demokrasia hawaitaki, wanapenda kuwepo vurugu kila siku. Angola wanasahao vita ile ya miaka 25.

Hivi hizi nchi za Afrika huambizana namna ya kuvuruga chaguzi? mbinu ni zile zile!

Source; BBC
 
Balaa hili sasa kwa Africa

I was scheduled to be there kuanzia tar 9 mwezi wa tisa.......... Aisee!!!
 
Unapokuwa na rais aliyeapa kufia madarakani unategemea nini jipya. Ni uchakachuaji wa kura mtindo mmoja, hakuna cha demokrasia wala kauli/chaguo la wananchi.
 
Kuna vurugu kubwa nchini Angola katika uchaguzi uliopangwa leo -- vyama vya upinzani vyasusia sababu orodha ya majina ya wapiga kura yaliyowekwa juzi yana kasoro kubwa, wengi wapigakura hawaoni majina yao na wengine yamehamishiwa vituo vingine vya mbali.

Kweli Miafrika ndivyo tulivyo -- demokrasia hawaitaki, wanapenda kuwepo vurugu kila siku. Angola wanasahao vita ile ya miaka 25.

Hivi hizi nchi za Afrika huambizana namna ya kuvuruga chaguzi? mbinu ni zile zile!

Source; BBC

mbinu anazotumia dos santos kubaki madarakani ni copy and paste from tz. utakuta labda kuna wazee wa it wa NEC frm tz waliombwa kwenda luanda ili wakawasaidie mpla washinde kwa lzm km tz 2010. hakuna kisichowezekana tz.
 
Back
Top Bottom