Angola 2010:nini kimefanya taifa stars tusiwe uko

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Ndugu zanguni
tukiwa katika mkakati bado wa kutengeneza timu yetu kama
maximo alivyokuja na kusema bado tunatengeneza timu
leo hii watu wakiwa katika kuangalia mashindano ya angola africa
vyema tukajiuliza nini kimefanya timu yetu JK BOYS wasiwe uko
na leo hii kuwa watazamaji kwenye luninga;msaada wako unaweza
kuleta maendeleo katika timu yetu;je ni
kocha,
wachezaji
vipaji
kujituma
nidhamu mbovu
ama milo mibovu,..nk
tutashukuru kuweza kuwapatia wadau wa karibu na timu yetu mawazo yako tusaidie kuona ikiingia mashindano yajayo
 
mipangilio mibovu, lazima tuanze na mashindano ya chini, mwakani Rwanda wanaandaa mashindano ya chini ya miaka 17 kwa hiyo tujitahidi timu yetu ifikie huko,
1-kama umemsikia kocha wa timu ya Rwanda amesema timu iliyocheza na Ivory kuwa anaiandaa na mashindano ya CHAN mwakani, sasa sisi timewaita hadi wachezaji wa nje katika mechi yetu na Ivory kweli tuna mipango endelevu??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom