Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

_47079716_keita766.jpg

_47079717_mali766.jpg
 
Mali well done...refa kaniboa sana na mipenati yake isiyo na msingi
 
kila mara nimekuwa nasema football ni mchezo unaoumiza sana sanaaaaaa..
 
Wadau wa sports, tuhabarishane kuhusu Africa cup of nations huko ANGOLA hatua kwa hatua hapa.
Tujue nini kinaendelea kabla, wakati na baada ya kinyang'anyiro hiki.
Tunajifunza nini, tunaona muelekeo gani, yapi yatokanayo na mengine mengi.

Angola team.
Angola na Mali wamecheza jana na matokeo ni draw ya goli 4 kwa 4. Angola waliongoza kwa goli 4 mpaka dakika ya 79 ndiyo Mali wakaanza kurudisha goli moja baada ya lingine. Very suprizing lakini ndiyo maana wanasema mpira ni dakika 90!
 
Ni kama muujiza vile.
Leo ni leo.
 
Angola na Mali wamecheza jana na matokeo ni draw ya goli 4 kwa 4. Angola waliongoza kwa goli 4 mpaka dakika ya 79 ndiyo Mali wakaanza kurudisha goli moja baada ya lingine. Very suprizing lakini ndiyo maana wanasema mpira ni dakika 90!
Mpira ni hadi filimbi ya mwisho ipulizwe
 
Uwanja mtupu hamna washangiliaji mechi iko boring.

Time mbaya wameweka hii match hawa Caf
 
Wadau, hebu tuwekeeni ratiba nzima ya Michuano hiyo pamoja na muda wa kuanza kila pambano maana wengine hata hatujui hiyo ratiba.
 
La tatu hilo Malawi 3 Algeria 0........viva underdogs.....!!!!
 
Ingia hapa mkuu utapata ratiba yote....
Asante Mkuu nimeingia lakini rtiba yenyewe iko kwenye Adobe na bahati mbaya kompyuta yangu haina aAdobe. Niko nadownload Adobe lakini bado ni vema ratiba ikawekwa hapa ili mambo yote yapatikane hapa hapa
 
Back
Top Bottom