Angetile osiya ananiua sana!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Huyu jamaa ananiua sana.alivokua mwandishi pale Mwanaspoti alikuwa kinara wa kuiponda sana TFF katika makala zake za gazetini.Lakini alivoingia Tff sasa amekua kinala wa kuboronga, kujikanyaga na kuharibu, pengine kuliko alowakuta,na kila siku kwenye vyombo vya habari utafkiri msemaji tff!
 
hahahahahaha...Angetile a.k.a Ngeta kachemsha jamaa..yeye pale achote pesa tu..hana jipya naye kaingia katika bifu na wambura...

ila mkuu ushawahi kujiuliza yule mkurungenzi wa masoko wa TFF bwn Jimy kabwe kafanya nn mpka sasa?..hahahahahaha..ile tasisi janga katika maendeleo ya soka bongo kuna watu wakutoka..pale..ngoja tuone uchaguzi mkuu wa TFF mwaka huu..nani atafaa
 
Huyu jamaa ananiua sana.alivokua mwandishi pale Mwanaspoti alikuwa kinara wa kuiponda sana TFF katika makala zake za gazetini.Lakini alivoingia Tff sasa amekua kinala wa kuboronga, kujikanyaga na kuharibu, pengine kuliko alowakuta,na kila siku kwenye vyombo vya habari utafkiri msemaji tff!

Watu wanapiga sana mayowe wakiwa nje wakiingia kucheza unaona ndo wanaharibu zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom