kazikubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 597
- 145
Huyu ni kiongozi makini na anayejua kukumbuka asili yake ya upenzi wa soka. Hajali lawama za watu hasa pale alifanyalo linamfurahisha mwenyewe na wananchi aliokuwa anawaongoza kabla ya kumuiga Amos Makala alipojiuzuru unazi ili kutenda haki kwa Watanzania.
Baba tunakukubali, maamuzi ya busara ya kuongeza muda wa usajili ni wa hekima hata kama maadui wanauchukia. Tuwekee waamuzi wa michezo yetu wale wenye mapenzi nasi si unajua tena kwa uzofu wako wengine wana kadi.
Mzee udumu tunakuunga mkono mzee.