Na hisi kama yupo chanel 10 anaendesha kipindi cha mimi na tazania!
hey man,siyo rahisi kumfahamu every girl unayemsikia!kama humjui potezea!Huyo naye ni nani wana jf, simfahamu vizuri
Anapambana na Endometriosis kama ya Millen ambapo IVF imemfaaa na kumpa prince Kairo!Huyu mrembo alipotelea wapi jamani? Loooong time!
Au na yeye metal zimetight?