Angekuwa Kunguru wa Zanzibar?!

Mpagama

Senior Member
Jan 9, 2011
127
7
Mtoto mwoga kama huyu akikua awe au afanye kazi gani?
 

Attachments

  • birdhelp.jpg
    birdhelp.jpg
    17 KB · Views: 181
toto chips mayai hilo
Unategemea nini kutoka kwa mtoto? By definition mtoto anakuwa insecure akikutana na kitu au jambo asilolijua. Je ukimkuta mtoto wako anataka kumshika nyoka - cobra - utamwona jasiri? Nadhani siyo. Huenda hajui madhara ya nyoka au ni mpumbavu.
 
Kulia kwa mtoto ni njia mojawapo ya kuexpress his internal feelings na haimaanishi direct kuwa ni mwoga.hiyo ni ppicha tu.
 
Enzi zetu za umri huo Siendi mbugani kuwinda na manati yangu nayatundika ukutani, siku imepita, ha ha haaa:smile-big:
 
Back
Top Bottom