Angalizo

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Nikiwa ndani ya basi la nganga kutoka mbeya kuja iringa,nimelishuhudia basi la sumry aina ya SKS BUS likiwa chali tairi juu katika kijiji cha ifunda.Kama una jamaa au nduguyo ametoka dar kwenda mbeya au songea au kyela hebu jaribu kum-trace kuhusu usalama wake.Nimeandika hivi kwa sababu sikufanikiwa kujua hili basi ni la wapi ila nime-exclude sumry SKS BUS la Tunduma kwa sababu tulipishana nalo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom