Kwa wale wote ambao wameomba kazi kupitia secretarite ya Utumish, tafadhali uwe aware na idadi ya watu wanaohitajika katika hio post husika kwako. La sivyo unaweza kutapoteza nauli ,na wengi mtakuwa na madeni ya kukopa kwa ajili ya safari. Ratio ya kuitwa kwa oral interview ni 1:3 yaani nafasi moja kwa watu watatu kwa oral interview, baada ya kufanya written interview hivo kuwa muangalifu kidogo au kuwa mvulivu.