Angalizo/waheshimiwa wabunge waende na wake zao kipindi cha bunge kulinda afya zaokama inawezekana

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,002
Nimesoma gazeti moja leo rpc anasema wamekuta nyayo za wanawake wawili tofauti
wanajiuliza mara mbil mbili ni yupi alieondoka na mali za mh na mbaya wote awakuwa na viatu inavyoonyesha

swali langu kama mh naibu waziri amekaa siku 5 akalala na machangu wawili je huko dodoma
wakikaa mwezi ama miezi wanatembeaga na wangapi jamani?????

Nahisi kuna umuhimu wa kumsikia mh mrema aliposema mke wanngu si mjinga kunifwata kila sehmmu huku dodoma ulizeni wengine usiku wanalala na wangapi??nakumbuka alisema kwenye mwananchi alipohojiwa mkewe mbona anakaba mpaka penalti mzee akaamua kujibu

nshidi kuna umuhimu wa kila mh kwenda na wake zao hata kama wako kazini mh rais naomba utoe kibali wawe huru mpaka watakapomaliza shguli za bunge hili litasaiidia kupunguza bajeti za vifo kila mwaka kwa wabunge na hasa hela ya safari amabapo mbunge akifa hulipwa kkutokana na dist frm dodoma

ni muhimu na nyie wamama zetu najua wazee wakirudi na per diem wanawachanganganyi kabisa lakini ikiwezakana kila mbunge akirudi toka dodoma apime kwanza kabla ya kuingiliana na mkewe kuepusha vifo vya kukusudia

mwisho nawatakia heri wote mnaosaidia waume zenu kuingia dodoma akifika huko kumbukeni kuna basi za shabiby wanakodisha dada zetu kila trip za bungeni kuhakikisha wabunge wanatoa yaliomoyoni wakiwa bungen na sio kufikiria shida za familia zao
SISEMI MUOMBE MUNGU BASI ZA DODOMA ZIHARIBIKE KIPINDI CHA BUNGE LAKINI KWA IMANI YANGU NASEMA

SHETWANIIIIIIIIIIIII ASHINDWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE KWA JINA LA YESUUUUUUUUU
 
Ni tabia ya mtu tu,hata asipokuwa mbunge anafanya tu,na hata hao wabunge pia sio wote.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom