Angalizo:mnaopaki magari yenu uwanja wa ndege jnia auna usalama tena!!very sad news

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Hakuna kitu kibaya kama kumwamini mkeo ama gfriend wako alafu sisku ya siku ukaj a
kukuta ndie msaliti wa ndoaa yako hapo ndipo unasikia amtu karusha kisu kwenye **** la mkewe
ukijiuliza amefwata nini kule upati jibu

hivi karibuni uwanja wa ndege wa dar esalaam umekosa kabisa usalama unaotakiwa kama uwanja wa ndege
na anikisema hivi namaanisha hata hao alshabab na wengineo wakiaamua kujipanga vizuri akuna anaesalimika na si kwa security ya uwanja wa ndege iliopo

how

1...mwaka jana kuna wasamaria wema walijitahdi kumjua mru aliemeza madawa ya kulevya na kisha kuwatonya wahusika baada ya muda yule kijana akakamatwa akapewa uji wao wakanya kama viroba 82 kwamnaokumbuka na hivi ni vile tu walivyoamua kuweka wazi wachilia vile vilivyo fichwa kusema hali halisi vimeingia vingapi
baada ya muda yule kijana wa madawa alionekana akiranda randa ambako ilifika wakati watu wakajiuliza huu mzigo ni wa nani mpaka kijana anajiamini hivi baada ya muda akusita hata mara moja kusema naomba mnihakikishie usalama wangu ntawataja hata waklionituma huu mzigo..wakiwa wanajadiliana usiku wamanane kijana yule akuonekana tena mpaka leo tunaongea haya hata vile vidonge vilikuja kubakia 32 50 anajua mola vilipopelekwa

ulinzi wa magari
kumekuwa na wizi wa mfululizo wa magari na hasa vifaa vya ndani ya magari ikiwemo powerwindow na vingine vingi...ukipaki unakaa kujiuliza kila baada ya saa kadhaa unaona askari wa polisi wakipita pita kwenye parking unabakia kujiuliza je hawa wanaoiba wanaibaje ibaje..mwakajana zimeondoka gari tatu ikiwemo noah ya mrembo mmoja wa humo ndan kwao...aikuchukua muda ikalambwa premio nyingine ya msindikizaji wa abiria...then cressda ...mwaka huu sijui wataaanza na ipi

ni majuzi tu haina wiki mbili ama tatu kuna gari imeibiwa vifaa vyake na pamoja na begi la kazini likiwa na laptop ndani...kibaya zaidi ukienda kuuliza amakufwatilia kule uwanjani ama mamlaka ya uwanja uangalie ile cctv inaonyesha nini unakuta mpaka saa gari inakaribia kuibiwa inaonyesha alafu inakata kipande alafu inarudi tena kuonyesha sehemu hiyo hiyo ya gari ilikokuwa imepaki lakini uoni tena gari kwa kuwa imeshaondoka...nasema hivi kwa maslahi yako wewe uliekopa gari watoto wakijua baba amenunua gari na sipendi uje kutoa chozi airport kwa kuibiwa gari ..usalama wa airport na mali zake aupo tena kwenye hali kamilifu....

Ni mwezi wa december tu mama mmoja ameingia na bastola mpaka kwenye ndege moja ya kwenda uarabuni alipopigiwa simu na mumewe kama amekumbuka kuwapa polisi ndio anakumbuka kutoa begi lake akiwa ameshahifadhi juu..hii ni airport yenye ulinzi..na mpaka leo akuna kinachoendelea na ni kwa nini ama iweje apite sehemu zote za machine bila kujulikana..ukienda kuuliza unaambiwa wakati akipita chini mhusika wa machine aklikuwa anasikiliza music tena kwa kuchezesha kichwa.....sasa unabaki kujiuliza uasalama wako wewe unaekuja airport uko wapi?????

Kama kuna mtu anaiba uwanja wa ndege na ukiangalia cctv aonekani kuna haja gani ya kuweka cctv ama kuwalipisha watu fedha kwa ajili ya parking kwa nini msiweke walinzi kama mlimani city watu wajue zikiibiwa una dili kivipi na walinzi hili litasaidia zaidi na zaidi.....

Usalama wa getini
kumekuwa na usalama mzuri pale kunapotokea tangazo la alshababu ama akitokea kuja obama ama cameroon kila gari zinahesabiwa na kuchunguliwa mpaka kwenye chupi za krenshaft..sasa leo hii askari wa ffu wanaacha kulinda ama kwenda mjini na shuguli zao wanakuja kupaki kwenye geti za airport kukamata wenye pikipiki na kuomba 2000- 5000 hawa ndio walinzi wa airport yetu mbaya zaidi wanawarubuni walinzi wa taa wanawaiangiza hao wenye pikipiki mwisho unashangaa mtu anatoka anatikisa kichwa na kuondoka...hii ni ulinzi shirikishi ama ??

Mwisho ni vyema wewe mdau ambae kama hotusafiri na ndege basi utakuja kuleta bibiako ama shemeji yako unatoa maoni gani kuimarisha usalama
 
have+got.JPG
 
Hao askari wa airport hawana tofauti na wengine wahurumie tu baba njaa imewabana. Nao wanajiongezea posho kiaina everything at your own risk.
 
Tatizo ni kwamba serikali inashindwa kabisa kulinda usalama kwenye kila kitu,,,hii ni hatari sana sasa manake dola inaanguka hatuna serikali ni kundi la wanyanganyi..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom