Angalizo kwenu . . .

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Najua hili jambo limeshajadiliwa sana,sina maana nalileta tena ila natoa angalizo kwa wale wanaoliishi. . . . . . . . . . . . . , . . .Kuwa mwaminifu sio kwa sababu Mungu amekataa uzinzi,au unaogopa maradhi,au una mke/mume au unaogopa macho ya watu,hizi ni sababu nyepesi sana zina muda. . . . . . . . . . . . . . . . ,. . . Siku matarajio au sababu yako ikikosa mashiko unaweza kujiona mjinga na huna maana.Mfano;unapofanya uaminifu kwa sababu ya maradhi,je ikipatikana dawa ya maradhi hayo?Uaminifu wako si utafikia kikomo? . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Fanya au kuwa mwaminifu kwa sababu ni ubinadamu,uzinzi au kuwa na wanawake/wanaume wengi ni kinyume na ubinadamu,yaani ni tabia ya wanyama wasiofikiri!
 
Hapa umenena vema sababu wengi wetu tuna kuwa waaminifu kwa sababu ulizo zitaja.

Pengine huu ni huite uaminifu wa kinafiki.

Utasikia mtu anasema nimea mua kutulia na mke wangu sababu maradhi mengi.
 
Pamoja na ulizozitaja, mi namuogopa Mungu zaidi (naogopa kuvunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu)
 
The Boss,yes una weza usijaribu,lakini kwanini ni kosa kufanya ngono kabla ya ndoa?Ndoa nini? . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Pamoja na hayo mi sijasema uwe mwaminifu kwa mtazamo wa kidini!
 
Last edited by a moderator:
The Boss,yes una weza usijaribu,lakini kwanini ni kosa kufanya ngono kabla ya ndoa?Ndoa nini? . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Pamoja na hayo mi sijasema uwe mwaminifu kwa mtazamo wa kidini!


nje ya mtazamo wa kidini
ndo upi huo?
 
....Mfano;unapofanya uaminifu kwa sababu ya maradhi,je ikipatikana dawa ya maradhi hayo?Uaminifu wako si utafikia kikomo? . . . . . . . . . . . . . . . . . . !


Ni sawa na kuamua kuacha kukata monde kwa kuwa tu uchumi umeyumba. Man, utarudi tu!!
 
Back
Top Bottom