Angalizo kwa waliochaguliwa vyuoni

Seaman88

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
417
156
Jaman watu woote mliochaguliwa kwny vyuo vikuu tz na nje,,kwa wale fresh frm skul plz take cr na uendacho kufanya, mi ni mzoef chuon kwn np mwaka wa 3 sa iv,ili ictokee ukaja kujuta plz fanya kilichokupeleka chuo,nature ya vyuo vikuu vyote tz inafanana.kinachofanyika udsm ndo kinachofanywa sua.saut.tumain n.k,kwa akinadada chunga ucje ukawa gunia la mazoez maboy frnds wa kukutana nao chuo c watu,,hapa tulipo tunawawait kwa ham xna c wenyw twawaita kontena jipya yan mali mpya kwa maeneo yale,tambua wazaz na taifa limeku2ma ucje kuvunja ahad.pombe.disko na starehe vipo xna bt ucji4get.bt ol in ol kwa wote waliochaguliwa Ruaha university ntakua mwnyj wenu mwaweza kunambia apa tukawacliana.
 
Andika maneno sio wote tunaelewa vifupisho vyako
 
Back
Top Bottom