Angalizo kwa viongozi katili na jeuri Tanzania: Anguko lao huja kama huyu bwana...........

nderingosha

JF-Expert Member
Mar 20, 2011
4,281
3,243
Siku hizi kumekuwa na maovu mengi wayafanyao viongozi wetu kwa watu wao maskini huku wakifikiri kuwa watakuwa na amani daima au wataishi milele au hawataweza kujulikana kwa ajili ya nguvu ya kifedha waliyo nayo.Ndugu zangu hali hii siku hizi inalipwa fasta sana hapa duniani.Hata uwe na mipesa kiasi gani,hata uwe na ulinzi kiasi gani,hata uwe na nguvu ya kisheria kiasi gani,hata uwe na watu wa kukusaidia kiasi gani,mwisho wake ndugu huwa ni fedheha au balaa kubwa, au maradhi na mwishowe hata kifo ndugu zangu.Tuangalie mifano michache: viongozi walio waibia kifisadi wananchi wao,wengine walianguka kisiasa hapa nchini(refer EL case as a PM),wapo walioua raia nao wakafa ghafla(refer Dito case),wapo waliokuwa na nguvu ya kifedha lakini walikufa(refer Balali case),na wengine wengi viongozi waliokutwa na mikosi mingi mfano Chenge na kugonga na kuua n.k,kila kiongozi ajiangalie nafsi yake na atubu kwa wananchi wake maskini anaowaonea kwani iko siku ya anguko lake ghafla.Twawajua wengi wana maradhi ya moyo,visukari na hata pressure,hawajui lini watadondoka(hii hutokea ghafla),mbona hawasomi nyakati na matukio?kiongozi dhalimu(uwe mbunge,waziri,katibu,mkurugenzi na hata rais,n.k)iko siku utapatwa na balaa kwa mabaya uwafanyiao watu wako.Utadondoka kama si kwa maradhi uliyo nayo basi utadondoka kwa scandal(inaweza kuwa ya ngono au ufisadi au yoyote) au hata kifo au kushindwa vibaya uchaguzi,hili lazima litakutokea leo au kesho.
Nimeanza na angalizo hili kwa kuangalia kilichomtokea mkuu wa IMF majuzi kwa kutaka kubaka muhudumu wa hotel kule Marekani.Huyu mzee alikuwa anategemewa na IMF ili ku bail out nchi za ulaya zenye matatizo ya kiuchumi.Pia,alikuwa anategemewa awe rais wa Ufaranza baada ya Sarcozy,ni kiongozi aliyekuwa anapendwa na chama chake cha socialist sana na hakuwa na mpinzani.Pia,ana pesa nyingi na majumba na magari ya anasa.Lakini,angalia kilichomtokea,anakwenda hotel ana mng'ang'ania mama tena mweusi ,mhudumu ili ambake na anafanikiwa hata kumwagia mbegu za kiume mdomoni,hatima yake anakamatwa akikimbia kwa aibu na sasa ananyea debe jela na mipesa yake,angeweza hata kununua mwanamke lakini siku yake ilishafika(akataka kubaka)kwani inasemekana ndio tabia yake kupenda mabinti(tabia iliyowajaa hata viongozi wetu hapa tz).Ebu fikiria huyu mzee anaongeaje na mke wake sasa?ataongeaje na wenzake wa chama na IMF?fedheha hii na anguko kubwa ndugu zangu wenye madaraka na nguvu ya kifedha kama huyu mzee.Huu ni mfano wa tajiri anavyoweza kumwonea maskini kwa kiwango cha hali ya juu,kwamba wewe vile tu una hela na power then unaweza kufanya kila kitu dunia hii.Mwisho wake ndugu zangu ni fedheha na anguko kuu.Sasa huyu bwana kama alikuwa na maradhi ya pressure au moyo yataamka na anaweza hata kupata heart attack,pia inaelezwa ulinzi ni mkubwa juu yake ili asijiue kwani anaweza kujiua pia.Mbaya zaidi sana ndugu zangu ni kwamba huyu mwanamke ambaye huyu babu alitaka kumbaka(alimbaka per se)yasemekana anaishi na virusi vya ukimwi(VVU)na mmewe alishakufa.Sasa ebu angalieni ndugu zangu.............kuna balaa kama hili kweli kwa mtu mkubwa??????tafakarini............
 
Labda alimrusha dau walilopatana kama Osama na marekani walivyomrusha dau lake
akawatumia waislam kuzidai bila mafanikio na akatangaza Jihad kwa wamarekani.
Hata hivyo mwanamke alitaka dau kubwa sana,unaweza kujua alitaka kiasi gani?

It was a big deal man not like what you think great thinker.
anyway,its a good analysis then...good.Nderingosha.
 
Umeenda mbele mno.
Hujui na huna hakika na kilichotokea na matokeo yatakuwa nini na mashtaka hayo.
Tanzania hata kiongozi angekutwa na tukio gani hawezi yeye mwenyewe kuwajibika wala hamna serikari inayoweza kumwajibisha.
Sioni kwa mfano huu viongozi wetu wanaweza kujifunza au kufaidika nao, wala hiyo mifano uliyotoa hapo juu hakuna hata mmoja aliyefika anguko wote wamesimama.
 
wewe psychologically(kama si materially) ni pro-corruption,you cant even see then end of all of our leaders shit.Kama wote wamesimama(kwa mtazamo wako hasi)basi iko siku wataanguka(for your informartion),take my word and try to make your mind think by even trying to analyze the recent uprisings in the northen African countries(na sasa botswana).Kama viongozi wetu watazidi kung'ang'ania maovu basi iko siku watatolewa na nguvu ya umma(kama si other natural/political disasters).....
 
you have nothing to say.......better be quite.......miwani unayo ni mapambo au ili ikusaidie kusoma?.......
 
human factor/error. tuna-conclude mapema kabla ukweli hatujaua vizuri. tupeane muda kidogo tu tutajua yote hata kama sio yatakayoamuriwa na mahakama
 
Back
Top Bottom