MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,848
- 6,178
- Thread starter
- #61
umenikumbusha UDSM, nilisoma physical education, sports n culture, baadhi ya marafiki wa bcom n law walikuwa wakijoke kwamba dah naona mzee unatengeneza coursework kwa kuogelea, unacheza netball nini, but infact ni kwamba katika course yetu tulikuwa 16 na 10 tuko kwenye central Gvt, na wale washkji zangu bado wananiomba hela za beer hadi jana.
Yap hizo zipo sana, watu wanakuwa hawajui maisha yalivyo, mshukuru muumba kwa alipokufikisha