Duh, makubwa! vyeo vya kupeana hivi havina maana! watu wangekuwa wanapiga interview ya kuwa mkuu wa mkoa nadhani wengi wangekuwa walewa mataputapu!Tunategemea yatokee. Tazama, sikiliza na soma vyombo vya habari wakati zoezi la sensa. Mchananyiko wa makarani wa sensa unatia mashaka maana wengine wamechukuliwa mitaani kwa vigezo ambavyo mimi na wewe hatuvijui...Serikali imelichukulia suala la sensa kama ni ajira?! Siku moja nilimsikia mkuu wa mkoa wa Dar akisema kila mtanzania angehitaji kupata hiyo hela ya sabuni...
alafu mbona wanahesabu watu kienyeji.Takwimu hizo hazipo kamili mana wengi wataachwa.tanzania yetu hii kila kitu kipo topsy-turvy(no proper organisation)
Kwa jinsi nilivyoona sensa ya mwaka huu italeta takwimu za uongo, yaani itafanikiwa 60%.