Elections 2010 Angalizo kali kwa Watanzania wote mara baada ya jk kutangazwa rais.

Ninamshukuru Mungu sana maana yeye si mtu hata aseme uongo. Kwa jinsi ya kibinadamu macho yangu na ufahamu unaona yafuatayo katika matokeo yanayoendelea kutolewa.

  1. Tume ya uchaguzi inataka kutupumbaza kwamba DR. Slaa hakuchaguliwa na watz.
  2. Uongo mkubwa wa kutatangazia matokeo ya kile wanachojua fika kuwa si maamuzi ya watz.
  3. Kutulazimisha kupenda mtu asiyependeka.
  4. Tume ya uchaguzi NEC na majasusi wa watz wanauwezo kumshinda muumba?
Mara baadaya matokeo haya hatua za kuchukua.

  • Kuwa watulivu mpaka matokeo yote yatangazwe.
  • Kuendelea kumwuliza Mungu kwamba je huyu anaeyeendelea kutangazwa ndiye chaguo la watz? na kama siyo je Mungu kwa nini atuongoze? maswali na maombi yetu Mungu ATAJIBU.
  • Tusubiri tutauona mkono wa Bwana.
Nawatakia WaJF,CHADEMA na Watanzania mafanikio katika maisha yao na Mungu atuondolee huzuni yetu ya muda mfupi wakati tunasubiri Mungu kufanya maajabu yake ili kutupa nchi yetu ya asali na maziwa.

Amina!!!!
 
Tatizo wagombea wengi wa chadema walikalili kuwa "kwa kuwa nimesimamishwa na kupitia chadema, basi ni lazima nishinde" sasa mmeshindwa mnaanzisha vurugu na maneno ya kinafki. Mbona shemu ccm waliposhindwa hawafanyi fujo???

Hebu ona kilwa kusini mgombea wa cuf amemshinda wa ccm kwa kula chini ya 500 za ubunge na ccm hawakusema kitu, mngekuwa ninyi mngekubali, n

katika siasa ninyi ni watoto sana na tukifika katikati ya miaka 5 hii mtajua athari za mabadiliko mliyoyaita kwa kufuata mkumbo
 
kabla ya uchaguzi mulikuwa mnategemea peoplessss poweeeer!!!! baada ya kuona hakuna cha peoples sasa mnategemea mungu sio? Inamaana chadema hawana peoples power tena?

Vema sana Zubeda, sasa unaanza kuelewa somo la kuandika Kiswahili fasaha, lakini bado MU.. MU... zinakusumbua , hata hivyo umejitahidi sana :smile:
 
Ninamshukuru Mungu sana maana yeye si mtu hata aseme uongo. Kwa jinsi ya kibinadamu macho yangu na ufahamu unaona yafuatayo katika matokeo yanayoendelea kutolewa.

  1. Tume ya uchaguzi inataka kutupumbaza kwamba DR. Slaa hakuchaguliwa na watz.
  2. Uongo mkubwa wa kutatangazia matokeo ya kile wanachojua fika kuwa si maamuzi ya watz.
  3. Kutulazimisha kupenda mtu asiyependeka.
  4. Tume ya uchaguzi NEC na majasusi wa watz wanauwezo kumshinda muumba?
Mara baadaya matokeo haya hatua za kuchukua.

  • Kuwa watulivu mpaka matokeo yote yatangazwe.
  • Kuendelea kumwuliza Mungu kwamba je huyu anaeyeendelea kutangazwa ndiye chaguo la watz? na kama siyo je Mungu kwa nini atuongoze? maswali na maombi yetu Mungu ATAJIBU.
  • Tusubiri tutauona mkono wa Bwana.
Nawatakia WaJF,CHADEMA na Watanzania mafanikio katika maisha yao na Mungu atuondolee huzuni yetu ya muda mfupi wakati tunasubiri Mungu kufanya maajabu yake ili kutupa nchi yetu ya asali na maziwa.
Nakushukuru kwa ushauri wako ,mungu atatusaidia na kutulinda na shari ya wote wasio na nia njema na nchi yetu nzuri TANZANIA .
Na kwa upande mwingine inabidi tusiilaumu sana tume kwani sifikirii kama wtu wa vijijini walipata kusikia hizi kampeni za kwenye mitandao ilhali wengine hawana hata sim za mkononi, na tofauti ni kubwa mno si rahisi kumshawishi mtu yeyote kuwa ushindi wote huo wa JK ni kura za wizi! haniingii akilini:nono:
 
Aisee sio siri mnatilisha huruma

Duh! kama sio nyinyi siku chache nyuma mlikua mna maneno machafu kama m*vi...... leo mnamjua Mungu,,, Mungu hataki WABAGUZI,,,, tubuni kwanza

Hata hivyo mnatilisha huruma,, I wish Jay Kay akampa SLAA alau u diwani
 
Back
Top Bottom