Angalizo hukumu jimbo la segerea.

hapa uchaguzi mpya wala hauitajiki, ni kumtoa huyo mwizi na kumuweka anayemfuatia kama serikali kweli inajali walipa kodi wake, halafu kuna hati hati ya chaguzi zote kupangwa tarehe moja. mmoja mmoja siyo rahisi kuchakachuwa kura
 
KAZI NI KWENU CCM.
ATOWN JIMBO LINARUDI HAPO NO COMMENT SASA 2NASUBILI SEGEREA NDO MWANZO MWISHO UWIIIIIII:high5:
 
Jamani nasema tena mimi si jaji wala hakimu wala sina cheti cha sheria ila angalau si mtupu kihivyo,hapa segerea mahanga asipotenguliwa basi ujue mahakama imeingiliwa 100%
 
WANA JF LEMA HAKUTIWA HATIANI KWA WIZI WA KURA, WALA MASANDUKU YA KURA. HATUPENDI KUINGILIA MUHIMILI WA MAHAKAMA ILA KWA JINSI NINAVYOFUATILIA KESI JIMBO LA SEGEREA, TUSIJEAMBIWA KUWA USHAHIDI HAUJAJITOSHELEZA HUKU MASHAHIDI WAMESHAELEZA JINSI JAMAA ALIVYONASWA AKIHAMISHA MASANDUKU NA HAKUWA MSIMAMIMIZI PAMOJA NA UKIUKWAJI WA TARATIBU NYINGINE.

Naomba kuwasilisha
 
Mkuu kumbuka hukumu hizi za ubunge za zinatolewa na CC ya chama cha magamba chini ya uenyekiti wa fisadi papa JK akizungukwa na TISS. Jaji mhusika anakuwa msomaji wa maamuzi ya cc mafisadi as just a rubber stamp.
 
uchaguzi mdogo inaonekana ni agenda ya siri ya ccm tunapaswa kuwa makini katika hili
 
Itakula kwao, maana serikali yenyewe imefulia halafu wanaitisha chaguzi. waache wafilisike kabisa ili iwe rahisi kuwachomoa magogoni
 
Itakula kwao, maana serikali yenyewe imefulia halafu wanaitisha chaguzi. waache wafilisike kabisa ili iwe rahisi kuwachomoa magogoni

Mbaya sana, maana uchaguzi ni ghalama kubwa sana,
Naona TZ ni nchi inayoongoza kuwa na chaguzi kila mwaka kwa ujinga wa kutaka kutawala milele
 
HILI LI NCHI PUMBAVU SANA!
Misaada yote itaishia chaguzi ndogo!
Anyway,CHADEMA Tunaongeza majimbo,though at cost of our economy!

kwa sababu ndo kamchezo tulokazoea tufungue kesi dhid ya LUSInde,tushnde mana ushahd upo wazi,af tugombee cdm tuchukue jimbo afu tusherekee tukiwa na umaskini wetu!
 
haya ndo madhara y jufanya maamuz kwa kutaka sifa hyu jaji ni mmja kat ya wale majaji 50 wa kikwete nae kakurupuka kama bosi wake,nguvu ya uma haipimwi kwa karata tatu wanazocheza ccm
 
Inaboa sana kwa kweli. Hivi kwa nini tusibadili katiba na kumpa ubunge yule eliyekuwa anafuatia kwa wingi wa kura mara ubunge wa mtu unapotenguliwa? Cant we go one step further? Gharama za marudio ya uchaguzi ni kubwa

kwa maana hiyo mkuu unataka mabadiliko ya katiba yanufaishe watu..huoni kuwa kesi zitaongezeka mahakamani? Na ndugu zetu wakaozea mahabusu? Mfano Balozi Batilda apewe ubunge Arusha?
 
Naamini Segerea lazima jimbo liwe wazi 12/4. Hii ni kutokana na ushahidi uliotolewa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom