Angalieni UN Jobs: Catagory ya UNV South Sudan

PlanckScale

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
550
169
Nime gusiwa habari za uhakika kwamba UN Mission ya South Sudan (UNMISS) inaanza kutangaza jobs za UNV kwenye fani
tofauti tofauti ikiwemo IT, Engineering, Transport, administration, n.k. The salary is usually between $2500 - $3500 per month.

Due to cost cutting in the UN system, Missions are looking to hire much much more UNVs instead of international staff (who on the average get paid 3 times more than UNVs). Look out for the advertisements on the Internet; that is all I can advise. "he who seeks will find..."
 
dah safi sana, tukapambane na as-shabab hukuhuko, e bana zikitoka tupeane link tufanye mambo
 
Kuna post zao walizotangaza ambazo sio UNV naona wameshaanza kushortlist.wamenitumia email jana.
 
hahahaaaa, kw ahuo mshahara ni bora tubaki huku kwetu bongo
 
Nime gusiwa habari za uhakika kwamba UN Mission ya South Sudan (UNMISS) inaanza kutangaza jobs za UNV kwenye fani
tofauti tofauti ikiwemo IT, Engineering, Transport, administration, n.k. The salary is usually between $2500 - $3500 per month.

Due to cost cutting in the UN system, Missions are looking to hire much much more UNVs instead of international staff (who on the average get paid 3 times more than UNVs). Look out for the advertisements on the Internet; that is all I can advise. "he who seeks will find..."
Mbona hii habari haijajitosheleza??kwanini usiweke link ili tujue ni wapi tunaanzia!!
 
Hiring imefanyika na Kulikuwa na Mkenya, Mganda, na wengine outside EA. Wabongo hamkuonekana!
Japo pochi la $3000 sio kubwa sana lakini experience in Technology is unbeatable!
Please angalieni mara kwa mara.

Thanks
 
hahahaaaa, kw ahuo mshahara ni bora tubaki huku kwetu bongo

Wabongo wavivu! Wakenya njooni mtupakate na mauvivu yetu. Yaani mtu bora akae home kuliko apate 3,000$/month. Au bora apate viji laki 8 kwa mwezi kuliko 3,000$ kwa mwezi. Wabongo bhana....Sorry kwa kutumia jibu lako kuelezea hisia zangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom