Angalieni hii picha haafu toeni maoni yenu......Ila jazba haitakiwi...Hii ndio Tanzania....

Hapokei zaidi ya buku,hiyo ni tip tu ya kila siku kwa ajili ya kuboresha maisha na kuzuia asikamatwe anapofanya makosa katika route husika!
 
inaonyesha kama vile suala la rushwa kwake ni kama salaam barabarani- atakuambia dreva ndugu yake alikuwa akimusalimia
 
Mbna kama vile anamsalimia nimejaribu kuizoom lakn hcho ki hela sijakiona.
 
maisha magumu, na kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake, kama kazi yako ni baa utakata chenj za wateja, mwalimu tuition na vitotoos, beki tatu kwenye ununuzi wa maitaj home, ofisini ndo basi, embu leteni picha hayo majamaa ya vijisenti, wa south africa na uswisi walikua wanachukua vyao. acheni uonevo kwa polisi bhana!
 
Back
Top Bottom