ANGALIENI CV YA ADAM MALIMA: hana form six wala bachelor, loooo!!!!

Si afadhali CV ya Mh. Malima ila waingiza data inawezekana wamekosea sababu ukifuatilia CV za wabunge, wengi wao zinakasoro. Umeiona ya JAH PEOPLE, yaani mpaka leo bado anasoma ELIMU YA MSINGI na sijui ataimaliza lini!

Parliament of Tanzania



Huyu jamaa naona alikataa shule tu. Yaani kazaliwa 1956 mpaka leo bado anasoma shule ya msingi kweli TZ tuna wasanii wengi tu.
 
kusema ukweli, hii ya jah wa njombe kaskazini, ni balaaa, ...unajua kule kwa wabena hawajali sana elimu, wao ukiwa mchawi mzuri ndo unashinda ubunge, hapo mwenye degree zake akijaribu kugombea, watamzika wiki hiyo hiyo.....hii ndo tz bana...kama huamini uliza wakinga na wabena watakwambia.

dah watanzania bado tuko hivo mkuu????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom