ndio tunachoongea hapa. Wabunge wengi na mawaziri ni incompetent na ukija kuangalia kwanini ni wadhaifu/wazembe na hawafanyi kazi vizuri ni kwa sababu hata shule hawakuenda.
Kwako neno shule maana yake nini?
ndio tunachoongea hapa. Wabunge wengi na mawaziri ni incompetent na ukija kuangalia kwanini ni wadhaifu/wazembe na hawafanyi kazi vizuri ni kwa sababu hata shule hawakuenda.
Yani Magamba....wanafurahisha inamaana alitoka secondary akaenda darasa la 4!!Dah!! uongo mwingi mwisho wasiku ujikuta umeyakanyaga!!Ni nyota kama hizi!!Sijui ni makosa wa watendaji wa bunge lakini kuna kitu hakijakaa sawa. Angalia hapo kwenye red: Malima alisoma Masters kabla ya Post Graduate Diploma? Yaani alitoka o-level moja kwa moja akaanza Masters?
Upanga Primary School Primary Education 1972 1978 PRIMARY Shaban Robert Secondary School O-Level Education 1979 1982 SECONDARY University of Hauana (Cuba) MSc. (Economics) 1984 1989 MASTERS DEGREE Univesity of London (SOAS) Post Graduate Diploma (Econ) 1993 1994 POSTGRADUATE University of London (SOAS) MSc. (Econ) 1994 1995 MASTERS DEGREE
hajasoma A level, ametoka o level akaenda moja kwa moja masters, hakuna A level, hakuna undergraduate degreee...hawa ndo wale watoto wa vigogo ambao wazazi wao wana pesa na elimu lakini wao ni wavuta unga na bange, malaya na wakimbia shule...vichwa maji kabisa.[/QUOTE]
Taratibu jamani mkuu Hute!
Duuh hii kweli hakunaga!Si afadhali CV ya Mh. Malima ila waingiza data inawezekana wamekosea sababu ukifuatilia CV za wabunge, wengi wao zinakasoro. Umeiona ya JAH PEOPLE, yaani mpaka leo bado anasoma ELIMU YA MSINGI na sijui ataimaliza lini!
http://www.parliament.go.tz/index.php/members/mpcvs/1631/2010-2015
kusema ukweli, hii ya jah wa njombe kaskazini, ni balaaa, ...unajua kule kwa wabena hawajali sana elimu, wao ukiwa mchawi mzuri ndo unashinda ubunge, hapo mwenye degree zake akijaribu kugombea, watamzika wiki hiyo hiyo.....hii ndo tz bana...kama huamini uliza wakinga na wabena watakwambia.Naona hii ya Jah People ndiyo imekaa vibaya zaidi. Yani yeye kasoma darasa la kwanza tu 1970. CV haionyeshi kama aliendelea ama alimaliza shule ya msingi mwaka gani. Ni muhimu ofisi ya Bunge ifatilie na kuziweka kwa makini CV za wabunge. Inatupa shida sana kwa taasisi kubwa kama hii kujiridhisha na mapungufu makubwa kama haya.
Mkuu, hiyo inawezekana. Inategemea na mfumo wa elimu ya juu wa nchi husika.
Kwa mfano. Enzi za Soviet Union (USSR), wao walikuwa wanachukua wanafunzi wenye sifa za kujiunga na elimu ya juu, wanawafunza lugha ya kwao kwa mwaka mmoja kisha wanawasomesha kozi aliyochagua (specialisation) mwanafunzi huyo kwa miaka mitano. Akihitimu anakuwa awarded Masters degree.
Ila kwa sasa wamebadilisha kutokana na gharama za masomo. Wameona kumlazimisha mtu kusoma taaluma kwa miaka mitano mfululizo ili apate Masters degree ni gharama kubwa. Hivyo wamepunguza miaka hadi mitatu, ili upate kwanza Bachelor na ukitaka waweza kuendelea na Masters miaka miwili.
Kuhusu case ya Mhe. kusoma miaka sita ili kupata Masters Cuba, sioni tatizo. Yawezekana nao walikuwa na system kama hiyo ya USSR, kwani nao walikuwa katika kundi la Warsaw. Ila kwamba amepokelewa chuo kikuu kutoka O-Level, sijui ni kwa nini.
Lakini nadhani hata waziri wa afya wa sasa naye inasemekana hakusoma A-level. Siyo kwamba alifeli hapana. Alikuwa bright sana shuleni na alifaulu vizuri sana O-Level. Inasemekana A-Level alisoma miezi michache tu kisha akaenda kusomea udaktari Turkey. Na ni msomi mzuri sana wa fani yake.
Labda Mhe. Malima ni wa aina hiyo ya kama waziri wa afya. Tusilaumu kabla ya kufanya utafiti.
Bro Malima Kapiga Msc. (Economics) Miaka minne?? inaonyesha jinsi alivyo kiazi kichwani halafu unampa aongoze wizara!!! anyway ni uswahiba wa JK na marehemu baba yake Prof. Kighoma A. Malima...usisahau wote wanatoka Mkoa wa Pwani so ni kulipa fadhila. Ndio maana Malima hana wasi wasi kwa kauli/dharau zake kwa yeyote maana anajua ana mtu anamlinda...si unakumbuka saga ya Malima na Mzee Sitta?
This must be a typing error...no high school ..hakuna degree ya kwanza ..direct masters ...na pia master of economics imerudiwa Mara mbili...nilichogundua mimi ni kwamba website ya bunge suala la C.V hawajalitilia maanani sana, si malima tu, wengi sana dondoo zao haziko sawa
wameKOSEA HAPO NI BACHELOR DEGREE,NDIO MAANA WAMEWEKA MASTERS MWAKA 94.KWA AKILI YAKO UNAFIKIRI KASOMA MASTERS MARA MBILI YA UCHUMI?NDIO MAANA HAJASOMA FORM 6 ,KAANZA DIPLOMA ,BCHELOR KAUNGA MIAKA MITANO KAMA WANAVYOFANYA ST JOSEPH DEGREE YAO MIAKA MITANO UKITOKA FORM 4 NDUGU.MMENIPATA NADHANI. ANY CONSTRUCTIVE CRITICISM?MEMBER OF PARLIAMENT CV
GENERAL Salutation Honourable Member picture
First Name: Adam Middle Name: Kighoma Ali Last Name: Malima Member Type: Constituency Member Constituent: Mkuranga Political Party: CCM Office Location: P.O.Box 2000, Dar es Salaam Office Phone: +255 784 612 020/+255 713 612 020 Ext.: Office Fax: Office E-mail: amalima@parliament.go.tz Member Status: Current Member Date of Birth 26 June 1966
EDUCATION School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Upanga Primary School Primary Education 1972 1978 PRIMARY Shaban Robert Secondary School O-Level Education 1979 1982 SECONDARY University of Hauana (Cuba) MSc. (Economics) 1984 1989 MASTERS DEGREE Univesity of London (SOAS) Post Graduate Diploma (Econ) 1993 1994 POSTGRADUATE University of London (SOAS) MSc. (Econ) 1994 1995 MASTERS DEGREE
EMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From Date To Date Private Consultants Business Consultant 2002 2005 Ministry of Energy and Minerals Deputy Minister 2/13/2008 Pwani Finance Business Consultants Consultant 1996 - Bank Of Tanzania (BOT) Financial system 1990 1996
BTW: Watoto wa wakubwa mnafaidi banaaaaaa.................
NA HII HAPA VIPI WAKUU SIJAIELEWA AU NDIO LEARNING BY DOING,EXPERIENCE?wameKOSEA HAPO NI BACHELOR DEGREE,NDIO MAANA WAMEWEKA MASTERS MWAKA 94.KWA AKILI YAKO UNAFIKIRI KASOMA MASTERS MARA MBILI YA UCHUMI?NDIO MAANA HAJASOMA FORM 6 ,KAANZA DIPLOMA ,BCHELOR KAUNGA MIAKA MITANO KAMA WANAVYOFANYA ST JOSEPH DEGREE YAO MIAKA MITANO UKITOKA FORM 4 NDUGU.MMENIPATA NADHANI. ANY CONSTRUCTIVE CRITICISM?
GENERAL | ||
---|---|---|
Salutation | Honourable | Member picture |
First Name: | Freeman | |
Middle Name: | Aikaeli | |
Last Name: | Mbowe | |
Member Type: | Constituency Member | |
Constituent: | Hai | |
Political Party: | CHADEMA | |
Office Location: | P.O. Box 3070, Moshi | |
Office Phone: | ||
Ext.: | ||
Office Fax: | ||
Office E-mail: | fmbowe@parliament.go.tz | |
Member Status: | Current Member | |
Date of Birth |
EDUCATION | ||||
---|---|---|---|---|
School Name/Location | Course/Degree/Award | Start Date | End Date | Level |
Secondary School | Secondary Education | - | - | HIGH SCHOOL |
EMPLOYMENT HISTORY | |||
---|---|---|---|
Company Name | Position | From | To |
Bank of Tanzania | Bank Officer |
pale wamechangana ni bachelor.kama st joseph wanavyofanyayaya,
..kwa uelewa wangu ili serikali ya tanzania ikudhamini kusoma chuo kikuu nje ya nchi ni lazima mhusika awe amehitimu form six au awe amejiendeleza zaidi ya form 4.
..sasa ilikuwaje serikali ya tanzania impeleke mhitimu wa form 4 kwenda kusoma chuo kikuu cuba? Hii scholarship ya kwenda cuba alipata wakati gani? Je, ni wakati prof.kighoma malima akiwa waziri wa elimu??
..zaidi, kwanini adam alisoma post graduate diploma in econ wakati tayari anayo masters ya econ? Pia kwanini akasoma masters nyingine ya economics? Kwa mtizamo wangu since alikuwa na masters ya economics basi inge-make sense zaidi kama angefanya phd program ya uchumi.
..mimi naona tujadili utendaji wake tu. Haya mambo yametokea zamani na most probably hakuwa na control nayo. After all minimum qualifications za kuwa mbunge au waziri anazo.
pale wamechangana ni bachelor.kama st joseph wanavyofanya
toa maoni yako basi .mi nimesema possibly watakuwa wamekosea.maana wewe unafikiri mtu atasomaje masters mara mbili ya kitu kimoja?.huu mfumo hata st joseph wanao.ukimaliza form 4 unaenda soma special class hadi bachelor kwa 5 yearsuna uhakika???!
toa maoni yako basi .mi nimesema possibly watakuwa wamekosea.maana wewe unafikiri mtu atasomaje masters mara mbili ya kitu kimoja?.huu mfumo hata st joseph wanao.ukimaliza form 4 unaenda soma special class hadi bachelor kwa 5 years
st.joseph university in tanzania
[h=3]5 years integrated bachelor degree in science with education[/h]