:biggrin1: daahh hii CV kiboko yani mzee hata sekondari hakukanyaga
Juzi Kenya wamepitisha sheria ya uchaguzi inayotaka kila mgombea ubunge awe at least na first degree. Kuna ubaya gani hata sisi wabongo tukiinga mazuri ya wenzetu wa Kenya?!
I cant imagine huyo mh. anaweza kweli kusoma na kuielewa vizuri bajeti. No wonder wabunge wetu huwa wanajadili vitu vya jumla jumla hakuna anayeza kuchambua kipengele kwa kipengele!
Swala la CV siku zote linapohusu mbunge wa CDM wachangiaji wote wanadai tusiangalie CV bali utendaji lakini likimuhusu mbunge wa CCM basi watu wanaangalia CV na si utendaji. Jamani tumjadili Malima kwa utendaji wake na si kusoma Master miaka 4 hiyo si issue vyuo vingi vinatoa program zinazounganga kutona bachelor hadi master na cheti unachopata ni cha master sasa tatizo liko wapi? Nadhani mnakariri tu kwa sababu Mlimani hawana kitu hicho ndio maana mnaona ajabu.
Si afadhali CV ya Mh. Malima ila waingiza data inawezekana wamekosea sababu ukifuatilia CV za wabunge, wengi wao zinakasoro. Umeiona ya JAH PEOPLE, yaani mpaka leo bado anasoma ELIMU YA MSINGI na sijui ataimaliza lini!
http://www.parliament.go.tz/index.php/members/mpcvs/1631/2010-2015
Angalia vizuri alikuwa anasoma o level Shaban Robertkati ya 1979-84 alikua anafanya nini? watakua wamesahau kuweka au labda alikua kijijini analima
Yeah! I smell rat there! NO A level education, No Bachelor degree but Postgraduate Degree!!!Duh! Ukizaliwa familia maskini na ukawa wa kwanza kupata elimu halafu ukasota mtaani bila kazi nzuri lazima uwachukie sana watu wa dizaini ya malima, nape, na wale wengine waliofoji vyeti pale BoT.
University of Hauana (Cuba) | MSc. (Economics) | 1984 | 1989 | MASTERS DEGREE |
Univesity of London (SOAS) | Post Graduate Diploma (Econ) | 1993 | 1994 | POSTGRADUATE |
University of London (SOAS) | MSc. (Econ) | 1994 | 1995 | MASTERS DEGREE |
siyo 1979 mpaka 1984kati ya 1979-84 alikua anafanya nini? Watakua wamesahau kuweka au labda alikua kijijini analima