ANGALIENI CV YA ADAM MALIMA: hana form six wala bachelor, loooo!!!!

MEMBER OF PARLIAMENT CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1426.jpg
First Name:Adam
Middle Name:Kighoma Ali
Last Name:Malima
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mkuranga
Political Party:CCM
Office Location:P.O.Box 2000, Dar es Salaam
Office Phone:+255 784 612 020/+255 713 612 020
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:amalima@parliament.go.tz
Member Status:Current Member
Date of Birth26 June 1966
EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Upanga Primary SchoolPrimary Education19721978PRIMARY
Shaban Robert Secondary SchoolO-Level Education19791982SECONDARY
University of Hauana (Cuba)MSc. (Economics)19841989MASTERS DEGREE
Univesity of London (SOAS)Post Graduate Diploma (Econ)19931994POSTGRADUATE
University of London (SOAS)MSc. (Econ)19941995MASTERS DEGREE
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFrom DateTo Date
Private ConsultantsBusiness Consultant20022005
Ministry of Energy and MineralsDeputy Minister2/13/2008
Pwani Finance Business ConsultantsConsultant1996-
Bank Of Tanzania (BOT)Financial system19901996


BTW: Watoto wa wakubwa mnafaidi banaaaaaa.................

Inamaana A level hakupitia na first degree nayo aliruka,huyu atakuwa kipanga sana.Tz ya leo inahitaji sana watu kama hawa.
 
Sijui ni makosa wa watendaji wa bunge lakini kuna kitu hakijakaa sawa. Angalia hapo kwenye red: Malima alisoma Masters kabla ya Post Graduate Diploma? Yaani alitoka o-level moja kwa moja akaanza Masters?
Upanga Primary SchoolPrimary Education19721978PRIMARY
Shaban Robert Secondary SchoolO-Level Education19791982SECONDARY
University of Hauana (Cuba)MSc. (Economics)19841989MASTERS DEGREE
Univesity of London (SOAS)Post Graduate Diploma (Econ)19931994POSTGRADUATE
University of London (SOAS)MSc. (Econ)19941995MASTERS DEGREE

1984-1989, Masters miaka mitano? PhD yenyewe miaka mitatu
 
Nafikiri alisoma Cuba miaka 6.

Mwaka wa kwanza ni shule yta LUGHA.

Baadaye anakuja kusoma miaka 5 na kupata Masters moja kwa moja.

Ni kawaida sana miaka hiyoo wakati wa Ukoministi na watu wengi waliosoma miaka hiyo kwa nchi kama Urusi, Romania, Czekoslavakia, Hungary nk nk.

Watu wanaosomea Uganga wao ndiyo walisoma miaka 6 + mwaka mmoja wa shule ya lugha.

Nilishawahi kukutana na Familia fulani ya Malando wa Sikonge na wote wakati huo wakiwa wametoka kusoma CUBA, miaka ya 80 mwanzoni. Mmoja alitangulia kwenda kusomea Uganga na mwingine akafuata baada ya mwaka na wakasoma wote na kurudi wote pamoja kama Daktari na Mhandisi.
 
Bro Malima Kapiga Msc. (Economics) Miaka minne?? inaonyesha jinsi alivyo kiazi kichwani halafu unampa aongoze wizara!!! anyway ni uswahiba wa JK na marehemu baba yake Prof. Kighoma A. Malima...usisahau wote wanatoka Mkoa wa Pwani so ni kulipa fadhila. Ndio maana Malima hana wasi wasi kwa kauli/dharau zake kwa yeyote maana anajua ana mtu anamlinda...si unakumbuka saga ya Malima na Mzee Sitta?

No research no right to speak!, hivi mfumo wa elimu wa Cuba ukoje? Kwani mdau unashangaa Msc ya miaka minne? kuna mifumo tofauti ya elimu duniani. kuna ile ya Anglo saxon, Unisted States, Canada, United Kingdom and Australia, kuna ule mfumo wa Eastern Europe, CIS, Poland, Czech, Bulgaria, Romania, Hungary etc, kuna mfumo wa Latin America, hata hapa Afrika Mashariki kwa upande wa elimu ya Sekondari mfumo wa Tanzania, Kenya na Uganda Umetofautiana, pia kuna mfumo wa elimu wa Ufanransa na ule wa Northern Europe, Nordic Countries, Germany na Austria.

Hawa wote wana utaratibu wao wa kutoa elimu na kila elimu inakiwango chake cha ubora, na advantege na disadvantages zake. kwa kupitia wasifu wa Bwana Malima utagunduwa kuwa alipomaliza O-Level alikwenda Cuba kusoma na kwa maana hiyo aliingia katika mfumo wa elimu wa Cuba, na pengine alisoma kwa ki-Spanish. kwa maana hiyo alimudu kufuata mitaala ya Cuba na kupatiwa elimu na shahada stahiki, kumbuika kuwa Cuba hjawana mchezo kwenye elimu wanatoa madaktari wazuri sana, Commandos wazuri sana na miongoni waliobora, na zaidi ya hayo kwa kupitia wasifu wake Mheshimiwa Malima kaipiga tohara Digrii yake ya uchumi ya Cuba kwa kusoma pia Uingereza, kwahiyo miongoni mwa wasomi, nadiriki kusema kuwa anaifahamu mifumo tofauti na mitaala tofauti ya Cuba (Western Hemisphere) na ule wa Ulaya Uingereza.

Kam ni kumpota labda mtafute hoja nyingine lakini kwa upande wa shule mimi binafsi naona amekaa vizuri, kuliko baadha ya hao waheshimiwa wengine walioteuliwa jana:)
 
ungesema kati ya 1982 na 1984 hapo ndipo alitakiwa kutumia miaka miwili na nusu kumaliza elimu ya kidato cha 6 lakini 1984 akawa kwenye masters. kumbuka kipindi kile form akimaliza November alikuwa anakaa hadi mwezi July mwaka unaofuata kuanza form 5.

kama alimaliza Olevel 1982 (october au November) form 5 alianza July 1983 - July 1984 na form 6 alianza July 1984 hadi Julay 1985.

anahitaji kutolea maelezo CV yake kabla akina mnyika hawajasema Malima ni dhaifu.

ndo maana hii serikali ni mbovu...wanapachikwa ma doctors na wenye masters n phd kumbe hamna kitu..wengine wanasomea uphd wa kuiba
 
hiyo ni typing error! malima alisoma na kupata masters nje kama ilivyo andikwa. ikumbukwe kuwa baba yake mzee kigoma malima alifariki uingereza akiwa amekwenda kuhudhuria graduation ya mwanae. baba yke alikua profesa na alithamini elimu
 
Elimu ya Malima haina tatizo lolote ila mambo anayoyafanya Malima ndiyo yanayoweza kukufanya ujiulize mara mbili mbili kuhusu uelewa wake. Kama mnamlalamikia kwa elimu yake kwa kweli mnamuonea.
 
MEMBER OF PARLIAMENT CV

GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
1426.jpg

First Name:
Adam
Middle Name:
Kighoma Ali
Last Name:
Malima
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Mkuranga
Political Party:
CCM
Office Location:
P.O.Box 2000, Dar es Salaam
Office Phone:
+255 784 612 020/+255 713 612 020
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
amalima@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
26 June 1966
EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Upanga Primary School
Primary Education
1972
1978
PRIMARY
Shaban Robert Secondary School
O-Level Education
1979
1982
SECONDARY
University of Hauana (Cuba)
MSc. (Economics)
1984
1989
MASTERS DEGREE
Univesity of London (SOAS)
Post Graduate Diploma (Econ)
1993
1994
POSTGRADUATE
University of London (SOAS)
MSc. (Econ)
1994
1995
MASTERS DEGREE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
Private Consultants
Business Consultant
2002
2005
Ministry of Energy and Minerals
Deputy Minister
2/13/2008
Pwani Finance Business Consultants
Consultant
1996
-
Bank Of Tanzania (BOT)
Financial system
1990
1996


BTW: Watoto wa wakubwa mnafaidi banaaaaaa.................

Kuna vyuo vingine huwa hawahitaji Form VI au? Ila mimi si hilo sana, shida yangu iko kwenye passport yake mbona kaulimi kapo nje? Body language nyingine not palatable and acceptable in some cultures!!! Overal official look matters a lot!!! Kweli huyu ndiyo muzee ya kuibiwa mihela ndani ya briefcase eti ni hela ya matumizi na safari akiitwa wakati wowote kwa safari yuko fit!!! Kumbe za ku.ho.nga!!! Bravo to the sister do who did this!!!
 
Hiyo inawezekana as fa as ni vyuo tofauti, kwani unaweza kuwa na Masters let say ya UD then ukajirester kusoma Postgraduate MIT, possible. Lakini question ni kwamba, ametoka O'level mpaka Masters na hakuna maelezo ya trend yoyote inayoonyesha kwamba huenda alipitia miundo kadhaa iliyomuwezesha kupata sifa ya kusoma Masters, tena alianza Masters akiwa na miaka 18 tu (1966-1984). Lakini hata hivyo 1984-1989 ni miaka 6, sijawahi kuona chuo kinachotoa muda mrefu huu kwa mastes otherwise kama huwezi wanakutimua tu, so huenda kuna recording error ya mwaka 1 masters, miaka 3 Bachelor na miaka miwili A'Level au Qualification yoyote iliyomuwezesha kufanya Bachelor.

Mkuu, hiyo inawezekana. Inategemea na mfumo wa elimu ya juu wa nchi husika.
Kwa mfano. Enzi za Soviet Union (USSR), wao walikuwa wanachukua wanafunzi wenye sifa za kujiunga na elimu ya juu, wanawafunza lugha ya kwao kwa mwaka mmoja kisha wanawasomesha kozi aliyochagua (specialisation) mwanafunzi huyo kwa miaka mitano. Akihitimu anakuwa awarded Masters degree.

Ila kwa sasa wamebadilisha kutokana na gharama za masomo. Wameona kumlazimisha mtu kusoma taaluma kwa miaka mitano mfululizo ili apate Masters degree ni gharama kubwa. Hivyo wamepunguza miaka hadi mitatu, ili upate kwanza Bachelor na ukitaka waweza kuendelea na Masters miaka miwili.

Kuhusu case ya Mhe. kusoma miaka sita ili kupata Masters Cuba, sioni tatizo. Yawezekana nao walikuwa na system kama hiyo ya USSR, kwani nao walikuwa katika kundi la Warsaw. Ila kwamba amepokelewa chuo kikuu kutoka O-Level, sijui ni kwa nini.

Lakini nadhani hata waziri wa afya wa sasa naye inasemekana hakusoma A-level. Siyo kwamba alifeli hapana. Alikuwa bright sana shuleni na alifaulu vizuri sana O-Level. Inasemekana A-Level alisoma miezi michache tu kisha akaenda kusomea udaktari Turkey. Na ni msomi mzuri sana wa fani yake.

Labda Mhe. Malima ni wa aina hiyo ya kama waziri wa afya. Tusilaumu kabla ya kufanya utafiti.
 
masters nyingi ni miaka miwili hapo naona miaka mitano inawezekana wamechanganyanya na na hiyoo shahada. tusije kumshikia bango huyu fisadi halafu akapata kichwa kwa kupata pa kutokea
labda mtoa mada angefanya uchunguzi zaid
 
masters nyingi ni miaka miwili hapo naona miaka mitano inawezekana wamechanganyanya na na hiyoo shahada. tusije kumshikia bango huyu fisadi halafu akapata kichwa kwa kupata pa kutokea
labda mtoa mada angefanya uchunguzi zaid

Mimi sina shaka na elimu ya kutoka CUBA, na kusema kweli dogo huyu ni mweledi sana na ni mtu anaye jiamini sana; we sema mambo mengine ya kwake anasumbuliwa na UJANA tu - hiyo ni phase itapita. Naona kote anako teuliwa anakumudu TU, tusianze kumkatisha tamaa kwa ku-pick mambo madogo dogo yasiyo na MSHIKO.
 
kati ya 1979-84 alikua anafanya nini? watakua wamesahau kuweka au labda alikua kijijini analima
79-82 secondary. 83 alikuwa napumzika. unajua kuwa katika mifumo mingine ya elimu ukimaliza o level unaweza kwenda chuo kikuu. lakini huyu mkuu yeye amemaliza o level akaenda moja kwa moja kwenye masters. hii ni starnge in any system!
 
Swala la CV siku zote linapohusu mbunge wa CDM wachangiaji wote wanadai tusiangalie CV bali utendaji lakini likimuhusu mbunge wa CCM basi watu wanaangalia CV na si utendaji. Jamani tumjadili Malima kwa utendaji wake na si kusoma Master miaka 4 hiyo si issue vyuo vingi vinatoa program zinazounganga kutona bachelor hadi master na cheti unachopata ni cha master sasa tatizo liko wapi? Nadhani mnakariri tu kwa sababu Mlimani hawana kitu hicho ndio maana mnaona ajabu.
 
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1631.jpg
First Name: Deo
Middle Name: Kasenyenda
Last Name:Sanga
Member Type:Constituency Member
Constituent: Njombe Kaskazini
Political Party: CCM
Office Location: Box 190, Makambako, Iringa
Office Phone: +255 754 565678/+255 784 361523
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: dsanga@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 1 January 1956
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Ikwega Primary School, MufindiPrimary Education1970PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Njombe North Constituency20102015
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National & Regional Council20072012
Chama Cha Mapinduzi, CCMChairperson (CCM Iringa Region)20072012
Chama Cha Mapinduzi, CCMWard Councilor20002010
 
Back
Top Bottom