ANGALIENI CV YA ADAM MALIMA: hana form six wala bachelor, loooo!!!!

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1426.jpg
First Name:Adam
Middle Name:Kighoma Ali
Last Name:Malima
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mkuranga
Political Party:CCM
Office Location:P.O.Box 2000, Dar es Salaam
Office Phone:+255 784 612 020/+255 713 612 020
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:amalima@parliament.go.tz
Member Status:Current Member
Date of Birth26 June 1966
EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Upanga Primary SchoolPrimary Education19721978PRIMARY
Shaban Robert Secondary SchoolO-Level Education19791982SECONDARY
University of Hauana (Cuba)MSc. (Economics)19841989MASTERS DEGREE
Univesity of London (SOAS)Post Graduate Diploma (Econ)19931994POSTGRADUATE
University of London (SOAS)MSc. (Econ)19941995MASTERS DEGREE
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFrom DateTo Date
Private ConsultantsBusiness Consultant20022005
Ministry of Energy and MineralsDeputy Minister2/13/2008
Pwani Finance Business ConsultantsConsultant1996-
Bank Of Tanzania (BOT)Financial system19901996

BTW: Watoto wa wakubwa mnafaidi banaaaaaa.................
 
kati ya 1979-84 alikua anafanya nini? watakua wamesahau kuweka au labda alikua kijijini analima
 
Bro Malima Kapiga Msc. (Economics) Miaka minne?? inaonyesha jinsi alivyo kiazi kichwani halafu unampa aongoze wizara!!! anyway ni uswahiba wa JK na marehemu baba yake Prof. Kighoma A. Malima...usisahau wote wanatoka Mkoa wa Pwani so ni kulipa fadhila. Ndio maana Malima hana wasi wasi kwa kauli/dharau zake kwa yeyote maana anajua ana mtu anamlinda...si unakumbuka saga ya Malima na Mzee Sitta?
 
[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1426.jpg
First Name:Adam
Middle Name:Kighoma Ali
Last Name:Malima
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mkuranga
Political Party:CCM
Office Location:P.O.Box 2000, Dar es Salaam
Office Phone:+255 784 612 020/+255 713 612 020
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:amalima@parliament.go.tz
Member Status:Current Member
Date of Birth26 June 1966
EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Upanga Primary SchoolPrimary Education19721978PRIMARY
Shaban Robert Secondary SchoolO-Level Education19791982SECONDARY
University of Hauana (Cuba)MSc. (Economics)19841989MASTERS DEGREE
Univesity of London (SOAS)Post Graduate Diploma (Econ)19931994POSTGRADUATE
University of London (SOAS)MSc. (Econ)19941995MASTERS DEGREE
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFrom DateTo Date
Private ConsultantsBusiness Consultant20022005
Ministry of Energy and MineralsDeputy Minister2/13/2008
Pwani Finance Business ConsultantsConsultant1996-
Bank Of Tanzania (BOT)Financial system19901996

BTW: Watoto wa wakubwa mnafaidi banaaaaaa.................

Typing money
 
Mzee prof Malima alikuwa msomi sioni shida kuwa hiyo gene ya usomi ipo kwa Adamu pia mwacheni Adamu avae viatu vya baba yake ila tu anapaswa kuwa na weledi siyo ubabaishaji tu kama anavyofanya yeye.
 
Sijui ni makosa wa watendaji wa bunge lakini kuna kitu hakijakaa sawa. Angalia hapo kwenye red: Malima alisoma Masters kabla ya Post Graduate Diploma? Yaani alitoka o-level moja kwa moja akaanza Masters?
Upanga Primary SchoolPrimary Education19721978PRIMARY
Shaban Robert Secondary SchoolO-Level Education19791982SECONDARY
University of Hauana (Cuba)MSc. (Economics)19841989MASTERS DEGREE
Univesity of London (SOAS)Post Graduate Diploma (Econ)19931994POSTGRADUATE
University of London (SOAS)MSc. (Econ)19941995MASTERS DEGREE
 
Sijui ni makosa wa watendaji wa bunge lakini kuna kitu hakijakaa sawa. Angalia hapo kwenye red: Malima alisoma Masters kabla ya Post Graduate Diploma? Yaani alitoka o-level moja kwa moja akaanza Masters?
Upanga Primary SchoolPrimary Education19721978PRIMARY
Shaban Robert Secondary SchoolO-Level Education19791982SECONDARY
University of Hauana (Cuba)MSc. (Economics)19841989MASTERS DEGREE
Univesity of London (SOAS)Post Graduate Diploma (Econ)19931994POSTGRADUATE
University of London (SOAS)MSc. (Econ)19941995MASTERS DEGREE

Hiyo inawezekana as fa as ni vyuo tofauti, kwani unaweza kuwa na Masters let say ya UD then ukajirester kusoma Postgraduate MIT, possible. Lakini question ni kwamba, ametoka O'level mpaka Masters na hakuna maelezo ya trend yoyote inayoonyesha kwamba huenda alipitia miundo kadhaa iliyomuwezesha kupata sifa ya kusoma Masters, tena alianza Masters akiwa na miaka 18 tu (1966-1984). Lakini hata hivyo 1984-1989 ni miaka 6, sijawahi kuona chuo kinachotoa muda mrefu huu kwa mastes otherwise kama huwezi wanakutimua tu, so huenda kuna recording error ya mwaka 1 masters, miaka 3 Bachelor na miaka miwili A'Level au Qualification yoyote iliyomuwezesha kufanya Bachelor.
 
Kama kuna watu wanafahamiana naye wamweleze kwamba CV hii haijakaa vema wabaya wake wataitumia kwamba alichakachua elimu inaweza kuwa ni makosa ya uchapaji pia.
 
hajasoma A level, ametoka o level akaenda moja kwa moja masters, hakuna A level, hakuna undergraduate degreee...hawa ndo wale watoto wa vigogo ambao wazazi wao wana pesa na elimu lakini wao ni wavuta unga na bange, malaya na wakimbia shule...vichwa maji kabisa.
 
Ni Udhaifu mwingine huu wa ccm kupeana vyeo kwa misingi ya upendeleo usio wa haki, na huu ni wizi mkubwa na ndio maana tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele kwa kuwa na viongozi wa dizaini hii ya kina malima, Ni Aibu tupu
 
kati ya 1979-84 alikua anafanya nini? watakua wamesahau kuweka au labda alikua kijijini analima

ungesema kati ya 1982 na 1984 hapo ndipo alitakiwa kutumia miaka miwili na nusu kumaliza elimu ya kidato cha 6 lakini 1984 akawa kwenye masters. kumbuka kipindi kile form akimaliza November alikuwa anakaa hadi mwezi July mwaka unaofuata kuanza form 5.

kama alimaliza Olevel 1982 (october au November) form 5 alianza July 1983 - July 1984 na form 6 alianza July 1984 hadi Julay 1985.

anahitaji kutolea maelezo CV yake kabla akina mnyika hawajasema Malima ni dhaifu.
 
A-Level na First degree alizisoma 1983, kabla ya kwenda Masters 1984. Hebu angalia vizuri hapo mstari kwa mstari.

MEMBER OF PARLIAMENT CV

GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
1426.jpg

First Name:
Adam
Middle Name:
Kighoma Ali
Last Name:
Malima
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Mkuranga
Political Party:
CCM
Office Location:
P.O.Box 2000, Dar es Salaam
Office Phone:
+255 784 612 020/+255 713 612 020
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
amalima@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
26 June 1966
EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Upanga Primary School
Primary Education
1972
1978
PRIMARY
Shaban Robert Secondary School
O-Level Education
1979
1982
SECONDARY
University of Hauana (Cuba)
MSc. (Economics)
1984
1989
MASTERS DEGREE
Univesity of London (SOAS)
Post Graduate Diploma (Econ)
1993
1994
POSTGRADUATE
University of London (SOAS)
MSc. (Econ)
1994
1995
MASTERS DEGREE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
Private Consultants
Business Consultant
2002
2005
Ministry of Energy and Minerals
Deputy Minister
2/13/2008
Pwani Finance Business Consultants
Consultant
1996
-
Bank Of Tanzania (BOT)
Financial system
1990
1996

BTW: Watoto wa wakubwa mnafaidi banaaaaaa.................
 
:welcome:mimi nilikuwa naye pale Shaban Robert darasa moja, alikuwa wa kati, nimeshangaa kufika maters akiwa na miaka 14. Inawezekana ndio maana anatembea na laptop 3, mabegi 3 ya nguo na silaha 3 ikiwapo smg.:focus:
 
Si afadhali CV ya Mh. Malima ila waingiza data inawezekana wamekosea sababu ukifuatilia CV za wabunge, wengi wao zinakasoro. Umeiona ya JAH PEOPLE, yaani mpaka leo bado anasoma ELIMU YA MSINGI na sijui ataimaliza lini!

http://www.parliament.go.tz/index.php/members/mpcvs/1631/2010-2015

Naona hii ya Jah People ndiyo imekaa vibaya zaidi. Yani yeye kasoma darasa la kwanza tu 1970. CV haionyeshi kama aliendelea ama alimaliza shule ya msingi mwaka gani. Ni muhimu ofisi ya Bunge ifatilie na kuziweka kwa makini CV za wabunge. Inatupa shida sana kwa taasisi kubwa kama hii kujiridhisha na mapungufu makubwa kama haya.
 
Back
Top Bottom