Elections 2010 Angalieni ccm wanavyoumbuliwa na baregu chanel 10.......

Hapo kwenye Runinga kumeandikwa

ARRISAALAH

Anatoa nasaha kwa wapiga kura TZ

Yuhu mbona ni ustadhi anatoa tu elimu ya urai kama alivyotoa kakobe na wakamsema vibaya sasa na huyu ustadhi jee nae anakosea au ??

Mie naona tu ni sawa tu kwa kutoa elimu ya urai ni nzuri sana wala haina tatizo.

 
Wakuu mlichelewa,moja ya vitu walivyojadili ni uchaguzi kutokuwa wa huru,haki,wazi na shirikishi,
nec na taarifa zao tatanishi,mara karatasi zinatoka s.afrika mara uk,hapa kuna jambo linafichwa.it was nice
 
Back
Top Bottom