Angalia watu wanavyo mkufuru mungu

Lawkeys

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
1,118
287
LUCIFER IS GOD.png JUPETER.png KENNETH QT3.png KENNET C QUT2.png CHUNG QUORT3.png View attachment 11132View attachment 11131
VIDOLE PAPA.png Hivi umewahi kutafakari? hivi unadhani hii ni sahii? wahubiri wengi wanaibuka kila kukicha, wanafanya miujiza mikubwa sana. Wengi wanadhani kwa kufanya miujiza tu wanadhihirisha kwamba wana Roho wa Mungu. Isaya 8:20 inatoa kipimo cha roho. Lakini Yohana anatwambia, "zijaribuni hizo roho.....", kwani sio roho zote zinatoka kwa Mungu. Kumbuka maandiko yansema siku za mwisho shetani atafanya miujiza mingi hata ikiwezekana kufanya moto ushuke kutoka juu, hata kuwafanya hata watakatifu kuanguka, kwani anajua wakati wake uliobaki ni mfupi sana.

Hawa wachungaji, ujumbe wao mkuu ni miujiza,miujiza tuu! hawahubiri watu wafwate sheria za Mungu na wengine wanasema, wahubiri wanahubiri kuhusu sheria za Mungu (10 commandments) wanazuia roho wa Mungu kutenda kazi, na wengine wanasema, "sheria ziligongomelewa msalabani". Soma Mathayo 5:17-18 na Ufunuo 12:14. Mahubiri yao ni ya kujiinua nafsi zao kama vile nao ni Mungu, nafasi ya Yesu haionekani KABISA, utasikia mini na fufua wafu, mimi ndio ninaponya magonjwa yote, MIMI, MIMI, MIMI (Yesu yukawapi). Kuna kiongozi wa DINI MMOJA anavaa kofia yenye ngazi tatu, zinazoonesha mamlaka tatu za kiongozi huyo. Yani, yeye ni mfalme wa Mbinguni, Duniani na Kuzimu. Yaani, inatisha binadamu anapojiinua kujifanya Mungu, onyo;

I Wathesalonike 2: 3-4<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /><o:p></o:p>
Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yoyote; maana haiji, usipokuja kwanza ule ukengeufu; akafunuliwa, yule mtu wa kuasi; mwana wa uhalibifu; yule mpingamizi, ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu ama kuabudiwa; hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu, akajionesha nafsi yake kana kwamba yeye ndiye Mungu.

Viongozi hawa wa Dini, wana pesa nyingi na kutembelea Magari ya kifahari, sina hakika kama inatokana na sadaka au la! lakini kuna mitandao ya siri kama FREEMASON wanaofund hizi institutions ili kujenga mazingira ya kumuinua LUCIFER. Nasema, hivi kwasababu nimeona katika video ya muhubiri mmoja mashuhuri (Mmarekani) anahubiri kwa mtindo wa upako na kwa kunena kwa lugha, baadae anonesha HE GOT SYMBOL (alama ya FREEMASON inayo mwakilisha Lucifer) kisha anasema kwa maneno ya kubanabana, "I am together with Lucifer". Wengine wanamtukana hata Mungu.

Kama wachungaji ndio hivyo, je wengine wamepona? Music industry ndo usiseme, alama nyingi wanazo onesha ni za Kimizimu, wanajitoa kumtumikia lucifer, hebu angalia link hii: Lady Gaga's Bad Romance - The Occult Meaning | The Vigilant Citizen . Tafuta link katika Jamii Forums, LADY GAGA, Beyonce na SASHA FIERCE, occult nk. utaona jinsi wanamuziki wanavyo fanya kazi ya yule mwovu. Kazi kuhamasisha vitendo vya zinaa, ulevi na mara nyingine hata ushoga. Maskini watanzania tunaiga iga tu.Wanamyeleka, utashuhudia alama hizo pia. Makanisa makubwa kuna alama hizo pia, angalia mchoro huo ndani ya Cathedral moja;

NDANI CATHE3.png

Lengo sio kumkwaza mtu, ila ni nia yangu ya dhati kwamba tuone jinsi ambavyo shetani anafanya kazi kwa nguvu, dalili kwamba Yesu anarudi. Tujiandae
 
Nadhani ndiyo nafasi ya Miungu watu kuonekana sasa kwani hata wewe ukiamua kuanzisha kanisa utafanikiwa ili mradi utangaze kuwa unamiujiza ya kuponya. Aiu unaombea watu kupata kazi nk. utapata waumini wengi na kuanza kuzichanga kwa sadaka.
Nilikuwa safarini Mwenzi jana akaja jamaa anahubiri kwenye gari na kusema kanisa lao liko Sanawari na akawa anawakaribisha abiria kuhudhuria ibada zao za maombezi. Cha kushangaza alimalizia kwa kusema ukija kuombewa usisahau mchango wa kiti cha kanisa Sh. 15,000/=, Je hii ni biashara au ni Maombi?
 
Msingi wa Ukristo ni Kristo mwenyewe. Biblia na tafsiri sahihi ya biblia inatuongoza namna ya kuuishi ukristo, hapo ndipo penye matata.
 
Wakristo wenyewe tumekuwa wa miujiza tuu.Huoni jinsi ambavyo watumishi wanajikweza na kujitwalia utukufu(hadi kutumia ving'ora......) na wafuasi walivyo wakali kuwalinda!Miujiza ya kanisani inakuwa advertised kuliko ya waganga wa kienyeji!Watu wanaponywa kwa jina la bwana mkubwa (na sio kwa jina la Yesu kama alivyoagiza)
Hivi Yesu angaliweka matangazo ya redio na TV kama ilivyo sasa ingekuwaje!
 
1.ndio hivyo tena akili kichwani mwako
2.shetani mjanja kuliko maelezo,kama alimjaribu yesu,atamshindwaje askofu?
3.anajua hana muda kabisa.
 
View attachment 11137View attachment 11136View attachment 11135View attachment 11134View attachment 11133View attachment 11132View attachment 11131
View attachment 11138Hivi umewahi kutafakari? hivi unadhani hii ni sahii? wahubiri wengi wanaibuka kila kukicha, wanafanya miujiza mikubwa sana. Wengi wanadhani kwa kufanya miujiza tu wanadhihirisha kwamba wana Roho wa Mungu. Isaya 8:20 inatoa kipimo cha roho. Lakini Yohana anatwambia, "zijaribuni hizo roho.....", kwani sio roho zote zinatoka kwa Mungu. Kumbuka maandiko yansema siku za mwisho shetani atafanya miujiza mingi hata ikiwezekana kufanya moto ushuke kutoka juu, hata kuwafanya hata watakatifu kuanguka, kwani anajua wakati wake uliobaki ni mfupi sana.

Hawa wachungaji, ujumbe wao mkuu ni miujiza,miujiza tuu! hawahubiri watu wafwate sheria za Mungu na wengine wanasema, wahubiri wanahubiri kuhusu sheria za Mungu (10 commandments) wanazuia roho wa Mungu kutenda kazi, na wengine wanasema, "sheria ziligongomelewa msalabani". Soma Mathayo 5:17-18 na Ufunuo 12:14. Mahubiri yao ni ya kujiinua nafsi zao kama vile nao ni Mungu, nafasi ya Yesu haionekani KABISA, utasikia mini na fufua wafu, mimi ndio ninaponya magonjwa yote, MIMI, MIMI, MIMI (Yesu yukawapi). Kuna kiongozi wa DINI MMOJA anavaa kofia yenye ngazi tatu, zinazoonesha mamlaka tatu za kiongozi huyo. Yani, yeye ni mfalme wa Mbinguni, Duniani na Kuzimu. Yaani, inatisha binadamu anapojiinua kujifanya Mungu, onyo;

I Wathesalonike 2: 3-4<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /><o:p></o:p>
Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yoyote; maana haiji, usipokuja kwanza ule ukengeufu; akafunuliwa, yule mtu wa kuasi; mwana wa uhalibifu; yule mpingamizi, ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu ama kuabudiwa; hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu, akajionesha nafsi yake kana kwamba yeye ndiye Mungu.

Viongozi hawa wa Dini, wana pesa nyingi na kutembelea Magari ya kifahari, sina hakika kama inatokana na sadaka au la! lakini kuna mitandao ya siri kama FREEMASON wanaofund hizi institutions ili kujenga mazingira ya kumuinua LUCIFER. Nasema, hivi kwasababu nimeona katika video ya muhubiri mmoja mashuhuri (Mmarekani) anahubiri kwa mtindo wa upako na kwa kunena kwa lugha, baadae anonesha HE GOT SYMBOL (alama ya FREEMASON inayo mwakilisha Lucifer) kisha anasema kwa maneno ya kubanabana, "I am together with Lucifer". Wengine wanamtukana hata Mungu.

Kama wachungaji ndio hivyo, je wengine wamepona? Music industry ndo usiseme, alama nyingi wanazo onesha ni za Kimizimu, wanajitoa kumtumikia lucifer, hebu angalia link hii: Lady Gaga's Bad Romance - The Occult Meaning | The Vigilant Citizen . Tafuta link katika Jamii Forums, LADY GAGA, Beyonce na SASHA FIERCE, occult nk. utaona jinsi wanamuziki wanavyo fanya kazi ya yule mwovu. Kazi kuhamasisha vitendo vya zinaa, ulevi na mara nyingine hata ushoga. Maskini watanzania tunaiga iga tu.Wanamyeleka, utashuhudia alama hizo pia. Makanisa makubwa kuna alama hizo pia, angalia mchoro huo ndani ya Cathedral moja;

View attachment 11141

Lengo sio kumkwaza mtu, ila ni nia yangu ya dhati kwamba tuone jinsi ambavyo shetani anafanya kazi kwa nguvu, dalili kwamba Yesu anarudi. Tujiandae
binafsi huwa siwa kubali wachungaji wanaojiinua, wanaouza mafuta na maji, wanaouza maji na mambo yanayofanana na hayo. hata hivyo, bado wapo wachungaji sahihi na wanaofuata njia sahihi za Mungu, shida yako mtoa mada inaonyesha wewe unaamini amri 10 pekee ndio ukizifuata, umemaliza kila kitu. hiyo ndio shida, najua wewe ni msabato. hivi unajua kabla ya amri 10 kuja pale mlima sinai, kuna watu walikuwa wanamwabudu Mungu bila ya hizo? unamfahamu mfalme melkizedeki? mfalme wa salem? huyu hakuwa myahudi walal kizazi cha Ibrahimu, alikuwa mataifa tu wa nchi ya Kaanani pale, na kuna watu walikuwa wanamwabudu huyu Mungu wa kweli, huyu ndiye yule Ibrahim alimpa fungu la kumi kwa mara ya kwanza baada ya kutoka vitani. je? kama amri kumi ndio pekee unazoamini kuwa zinatosha, hao waliomwabudu Mungu kabla ya hizo waliwezaje?

Yesu Kristo alimwaga damu yake, damu ya kafara, akaanzisha agano jipya ndani ya Damu yake, agano la kwanza lilikuwa kuukuu na hivyo jipya likija lile kuukuu la nini sasa? kwani Yesu alikuja kwa ajili ya nini ndugu? alimwaga Damu yake bure? NOoo. Huna uwezo wa kufuata sheria ukampendeza Mungu, unahitaji neema ya wokovu ndani yako (ambao wewe na wenzio mnaukataa) ili Mungu akupe Roho Mtakatifu, akuongoze kwenye kweli yote. Roho Mtakatifu kuniongoza kwenye kweli yote haimaanishi tu kwamba akupitishe kwenye maneno yaliyoandikwa, bali hata yale yasiyoandikwa kwasababu dunia ileee ya ulimwengu ulioandikwa kwenye Biblia imebadilika sana, kuna maovu mengi sana mapya ambayo hayapo kwenye Biblia ila ni dhambi, hapo ndipo unamhitaji Roho Mtakatifu. niambie, kwenye Biblia pornography ipo wapi? ila ni dhambi.

pia, unakumbuka kikao kilichokaliwa na mitume baada ya injili kuanza kuhubiriwa kwa mataifa? manake awali ilikuwa inahubiriwa kwa wayahudi pekee, namna Mungu alivyowajaza Roho Mtakatifu hata wamataifa, kikao kikakaliwa pale, wakasema tusiwatwishe mataifa mzigo wa sheria za kiyahudi, bali wajiepushe na nini? na wakifanya hayo watakuwa salama?

tangu lini mwanadamu akafanikiwa kumpendeza Mungu kwa matendo ya sheria?
 
kiongozi Kwani wewe ni amri zipi hufuati
Je kuiba ni halali kwako
je kuzini ni halali kwako
je kusema uongo ni halali kwako,
je unawakosea wazazi ni furaha kwako kwa sababu Yesu ametufia?
Sana sana chuki yako ipo kwenye amri moja tu katika zile 10 ,nayo ni ikumbuke sabato na uitakase
au basi onyesha amri nyingine unayoichukia kwa sababu Yesu alitufia

Unaichukia sabato tu katika hizo amri kumi, na ni kwasababu shetani anaichukia sabato

Ufu 14:12​

Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu.

Yohane 14:15-20 BHN​

“Mkinipenda mtazishika amri zangu. Nami nitamwomba Baba naye atawapeni Msaidizi mwingine, atakayekaa nanyi milele. Yeye ni Roho wa ukweli. Ulimwengu hauwezi kumpokea kwa sababu hauwezi kumwona wala kumjua. Lakini nyinyi mnamjua kwa sababu anabaki nanyi na yu ndani yenu. “Sitawaacha nyinyi yatima; nitakuja tena kwenu. Bado kidogo nao ulimwengu hautaniona tena, lakini nyinyi mtaniona; na kwa kuwa mimi ni hai, nanyi pia mtakuwa hai. Siku ile itakapofika mtajua kwamba mimi niko ndani ya Baba, nanyi mko ndani yangu, nami ndani yenu.

Upendo Na Sheria​

Warumi 13:8 Msiwe na deni la mtu ye yote; isipokuwa deni la kupendana; kwa maana ampendaye mwenzake, ameitimiza sheria. 9 Kwa maana amri zisemazo: Usizini, Usiue, Usiibe, Usitamani na amri nyingine zote, zinajumlishwa katika amri hii moja: “Mpende jirani yako kama nafsi yako.” 10 Upendo haumfanyii jirani jambo baya, kwa hiyo upendo unakamilisha sheria zote.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom