Angalia watu wanaula kiulainiiii-Utawala wa Kifalme wa CCM

Nelsweeter

Senior Member
Feb 17, 2012
141
68
Kasesela.jpg

Kwa wale ambao hawamjui Baba yake mwenyekiti (Kasesela) mpaka anafariki alikuwa ni kizito pale STAMICO Upanga. This is how a "defacto monarchy" of Tanzania works.

Hongera sana Kasesera, acha wengine tuendelee kukomaza vidole kwenye keyboard za computer kwa comment zetu hapa JF
 
Kweli sasa nimeamini jipendekeze ili upendekezwe,....ndio maana huyu jamaa alikuwa amejivika jukumu la kujifanya ni msemaji wa serikali na CCM, kumbe wanajuwa wanachokifanya!! I see!......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom