Angalia wanaojua maana ya PhD za heshima hawazitumii kama vile walisomea

Wanitakiani. Suala la title bongo limekuwa kero sasa. Mara utasikia Advocate Nyombi,mara Engineer Manyanya,mara Accountant Gama n.k.

Yaani imekuwa ni fujo na kero tu. Sasa kila mtu atataka kujitambulisha kwa kuanza na "title" zao. Tutaona, Mchorakatuni Masoud,Fundisaa Masawe,Muuzaduka Tarimo,Kondakta Masangu,Dereva Luhanga n.k.

hahahahahaa umeniacha hoi..
 
Last edited by a moderator:
Kikwete alipewa udaktari baada ya kugundulika kuwa CDM wangempa ugombea u-rais Dk Slaa back in 2010.

Ishu ikawa, CDM wana Dk Slaa, CUF wana Prof Lipumba je CCM wana nani...Mh JK Kikwete??? hapana.....Dk Kikwete.

it was political move basiiiiiiiiiiiiiii....hakuna heshima wala nini, pure politiki kama kawaida ya bongo!!!!!!!!!!!!!

Napendekeza tutofautishe kwa herufi ya kwanza kama ifuatavyo: dr. Kikwete, dr. Mengi, dr. Mrema then za kubukuwa na utabibu ziwe Dr. Slaa, Dr. Bana, Dr. Magufuri, Dr. Tungaraza, Dr. Rugeihyamu, Dr. Kitila Nkumbo, Dr. Ulimboka etc. Hapo vipi wadau?
 
Kweli watu ni tunawahukumu watu kwa kuwapa majina sisi wenyewe....Jk hajapata kujitambulisha mahali popote kama DR na tena hata press release zake za ikulu haz-japata kumtaja kama dr....na tena labda jk utuambie ndio anaandikia magezeti ya Tanzania na hivyo anweka Dr ktk makala zake...... Otherwise hii thread ni *****
 
kwani uandishi wa vitabu ni kipimo cha udokta?

Unatakiwa kuandika vitabu,articles, journal na ziwe published kwa mapublisher wanaotambulika usije ukaja na kitabu umekiprint Mzumbe book project, Nyambali nyangwine na stationary yako halafu unataka upewe PhD au Uprofessor. Kama huwezi kufanya publication basi ukubali kuingia chimbo ambapo minimum ni miaka 3 na baada ya hapo uendelee kufanya publication kuutetea Udaktari wako na kwa ajili ya Uprofesa.
 
Mwinyi hawezi kuandika article, not that am being disrespectful to the old man lakini anajua anachoweza ndio maana hajawahi kujiita "Dr" japo nae keshatunukiwa PhD za heshima pia.

Nyerere alishapewa doctorate kadhaa - ikiwemo ya kusomea- na uprofessor pia, lakini hakutaka kuitwa kwa title hizo.

Huyu baharia JK anapenda awkward prestige na ndo maana hafanikiwe ktk uongozi wake na hata akikosolewa anakunja uso. akisifiwa anajisikia muurwa. Kuna watu anasaka hizo PHD kwa kuandika journal nyingi na zikathibitika kwa majopo ya PH holders na hata hawazitumii. mfano hate Mar. Bingu wa Mutharika alikuwa Professor kini hakupenda kutumia. Igefaa sana kukawa na kutofautisha hizi PHD feki VS real PHD. Na hii tabia ilianzishwa na nchi za magharibi baada ya kutuona mazuzu nasi tukaadopt. mtu kama Mrema na PHD yake ni aibu tupu, JK ndo the same. Hivi vyuo vyetu vya kisiasa zaidi na may be wanauza hizi PHD. maoni yangu wadau
 
HONGERA SANA, SINA ZAIDI. Kutokana na ukweli huo, ndiyo maana waliovalia njuga suala hilo ni wapambe ambao wanajua (1) lilivyopatikana, na (2) kwa nini lilitafutwa hiyo 'DR': Nelson Mandela anazo zaidi ya SABINI. WALILITAFUTA jina hilo kwa (i) kuchanganya wananchi ili wasijue nani kati ya Dr feki Kikwete na Dr wa kweli SLAA, ni DR wa kweli; na (ii) si unajua tena mzee wa mijisifa. SASA ndo kabisaaaaaaaaaaaaa, na BABA wa wana HABARI MENGI naye kaupata, itakuwa habari ni DR MENGI, DR KIKWETE, DR MENGI, DR KIKWETE ... HATUTA pumua...

Kikwete alipewa udaktari baada ya kugundulika kuwa CDM wangempa ugombea u-rais Dk Slaa back in 2010.

Ishu ikawa, CDM wana Dk Slaa, CUF wana Prof Lipumba je CCM wana nani...Mh JK Kikwete??? hapana.....Dk Kikwete.

it was political move basiiiiiiiiiiiiiii....hakuna heshima wala nini, pure politiki kama kawaida ya bongo!!!!!!!!!!!!!
 
[QUOTEWanitakiani[/MENTION]. Suala la title bongo limekuwa kero sasa. Mara utasikia Advocate Nyombi,mara Engineer Manyanya,mara Accountant Gama n.k.

Yaani imekuwa ni fujo na kero tu. Sasa kila mtu atataka kujitambulisha kwa kuanza na "title" zao. Tutaona, Mchorakatuni Masoud,Fundisaa Masawe,Muuzaduka Tarimo,Kondakta Masangu,Dereva Luhanga n.k.[/QUOTE]

Sina tatizo na Advocate Nyombi kaw vile "Advocate" hapa ni jina lake. Wasiwasi wangu ni kuhusu Eng. Wengine huwa ni Technician lakini hawapendi kujulikana hivyo. Kadhalika kuna wengine ni Assistant Medical Officer (AMO), wao hupenda kuitwa Dr. Title hii kwa kweli ni kwa Medical Officers (MO). Kibaya zaidi wengi kwa kupenda misifa hutaka jamii iwatambue kwa title hizo. Anapojitambulisha yeye binafsi huanza na title hizo. Mfano "Mimi naitwa Mheshimiwa Kobe" au "Mimi naitwa Dr. Nyau" n.k. Kwa mtitiriko huu mbovu utakuta mkewe naye anajitambulisha kama "Mama Dr. Nyau". Katika hali ya kawaida, jamii ndiyo hutambua na kukuita kwa kutumia title yako. Kwa mtu binafsi kupenda kuheshimiwa ni kuonyesha unyonge wa aina fulani "inferiority complex"
 
Back
Top Bottom