LeopoldByongje
JF-Expert Member
- Apr 28, 2008
- 372
- 13
Tafadhali ondokana na kulalamika. Kama una takwimu ziweke wazi huu ndio wakati wa kuwajua kwa undani wale ambao wanawania uongozi wa nchi yetu. Asiogopwe mtu na asionwewe mtu. Tujuzane kwa kujenga hoja na si masihara.Kwani Daily news wanadhani hatuna taarifa za mkuu wao huyo kulalamikiwa na waandishi wake wa kiike kuwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 alikuwa akiwanyanyasa kijinsia kiasi cha malalamiko hayo kupelekwa serikalini? Labda ni kwasababu Nguruwe alikuwa akipewa kazi ya kulinda shamba la mihogo.