Angalia Utongozaji wa Siku Hizi

rose umenikumbusha, kuna mmoja huyo ndani ya nusu saa alikuwa kashajifagilia hadi kaniboa.
Eti ana kampuni, ana stationary, hadware, gari aliyonayo haimtoshi anataka kununua nyingine, ana nyumba kubwa ya vyumba kumi, yupo kwenye ujenzi wa lodge halafu anataka aende nje akachukue vifaa vya ofisi. Mengine ngoja niyamezee.
Haya mambo kumbe yapo bwana. Lol!

duh cpati picha alivyokuwa anajitahid kujipaisha........kaaaaaazi kweli kweli
 
Unashangaa nini wakati unaona wazi siku hizi jua linavyopiga balaa.mie mwenyewe shida,nkaongeze tabu za nn.ukija na vx unakuwa tax yangu sipigwi na jua barabarani,kwanini nikukatae?ukitaka kumiliki demu ujue garama zake sio unakuja kichwa kichwa tu.aku babu,uzuri unatunzwa urembo unauzwa barabarani,yanini ukanifubaishe mtoto wa mwenzio!huna vx chukua taimu

I like that! Point blank!! Mwanamke mzuri matunzo yake ni gharama! Kwa hiyo ukipenda vitu vizuri lazima uwe tayari kuvihudumia pia....!!!
 
Du huyu mDada aniboa kwelikweli na wigi lake hivi hajashtukia tu hayo maVX ni STK? na wapo viwanja vya Wizarani hapo hakuna mapenzi ni bia 2 guest halafu kesoye hakuna kujuana.
Mapenzi ni yale ya wale wa Foot x Foot hebu nishikie ndoo nifunge nguo yangu (bataje ntunje) wale hawataachana maana wataanzia historia yao kwenye nyasi
 
Mbona kashaanza Kuuma Kucha/vidole hapo Kushnei, jamaa anachekelea kimoyomoyo tu, si unaona tabasamu la kizushi, mdomo pembeni


hapana,somo bado labda aongeze bajaji amwambie hiyo nimekuletea kama mtaji.
 
Hapa hakuna cha maviX wala maviY....Ni full locomtive cartilage (TZ eleven) + Saundi mvua za masika na mzigo ya kila aina inang'oleka kiulaaaniiiiiii.
 
Back
Top Bottom