Angalia Utongozaji wa Siku Hizi

Unashangaa nini wakati unaona wazi siku hizi jua linavyopiga balaa.mie mwenyewe shida,nkaongeze tabu za nn.ukija na vx unakuwa tax yangu sipigwi na jua barabarani,kwanini nikukatae?ukitaka kumiliki demu ujue garama zake sio unakuja kichwa kichwa tu.aku babu,uzuri unatunzwa urembo unauzwa barabarani,yanini ukanifubaishe mtoto wa mwenzio!huna vx chukua taimu


mh kazi kweli kweli!!!
 
attachment.php

magari yote meupe yangu...

ukute huyo jamaa dreva tu hapo
 
eh!!hiyo kali lakini haileweshi..lakini wengine hatudanganyiki kwa VX wala gari aina yoyote kwani tumezichezea hadi tumechoka.s:clap2::laugh:
 
Zamani ilikuwa mtu unamtongoza mita elfu mbili toka home ila cku hizi vijana hawana habaari ni poison tu everywhere.........
 
Huyu dereva tu huoni kitambulisho kifuani kwake.

Si nafuu kama ni dereva wa moja wa magari haya wengine wanawadanganya mabinti kwa kuwasimamisha karibu na magari yaliyo packiwa wakati wenyewe magari na madereva wao hawapo karibu.
 
Back
Top Bottom