Angalia pozi la ZITTO

Akiwa wasira rais, je utahama continent???

Mungu saidia hilo lisije tokea daima, atalala na kuota tena kwa kupiga kelele kwenye mikutano ya kimataifa, ataaibisha na kufedhehesha Taifa langu la Tanzania.
 
Naona Nassari keshaanza kuota nywele kama Runi--Pesa jamani!!!!!!!!!we acha tu
 
jinsi inavyoonekana hapa km vle zitto hamkubali kabisa huyu dogo.kwa wale wanaojua kusoma picha na sio maandishi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom