Angalia pozi la ZITTO

Chenge

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
1,073
377
389198_3216381761561_1329051112_n.jpg
 
Peopleis this news au tumeingiliwa na hawa wapuuzi ? Save our time and space mkuu acha umbeya wa kike
 
Heshima hakuna Bungeni; Enzi za Chief Adam Sapi Mkwawa kama Spika kulikuwa hakuna Mchezo; kulikuwa na Utaratibu wa kukaa Bungeni; Utaratibu wa Mavazi Bungeni na Pia jinsi ya kufurahia au kupinga Jambo; alikuwa Mkali na alijua Sheria za Bunge.

Sio Sasa hivi Sisi Vijana tumevamia hatupewi Msaada wa Maana wa Jinsi ya Kujiheshimu Bungeni karibia tutakuwa kama Bunge la Ukraine...
 
mkuu siku hizi bungeni kinachomata ni hoja sio nidham ya woga.!
 
Hakuna lolote la ajabu/baya hapo... Jamaa amepose tu akiwaza namna ya kulipua bomu lingine kwa hawa wachovu aka sisiem maana madudu yao ni mengi sana!!
 
mkuu siku hizi bungeni kinachomata ni hoja sio nidham ya woga.!

Bunge la Uingereza na Bunge la Marekani wana Sheria kali kwa Wabunge wao na Bado wanatoa Hoja kali na hata kushitaki Rais wa Nchi...

Wakati wa Adam Sapi - Ndio wakati huo tu Waziri alijiuzulu kwa Hiari yake sababu ya Matatizo; haijawahi kutokea tena hadi leo hii, Ni Rais Mstaafu Mwinyi alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani

Sheria za Bunge zilikuwa kali na safi kwa kuwaeleza Mazuri na Uwajibikaji; Nani Sasa hivi watafanya hivyo?
 
Akiwa wasira rais, je utahama continent???

Mungu saidia hilo lisije tokea daima, atalala na kuota tena kwa kupiga kelele kwenye mikutano ya kimataifa, ataaibisha na kufedhehesha Taifa langu la Tanzania.
 
Back
Top Bottom