Angalia Picha: Kuelekea Uchaguzi

SaaMbovu

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
6,027
5,342
Tutaona mengi sana.
 

Attachments

  • 1443013847862.jpg
    1443013847862.jpg
    59 KB · Views: 1,359
Sisiem bila kugawa chukula, kofia, chumvi, sukari bado mambo hayajaenda.
 
Anacheza mziki wa lowasa na bado naye anataka akapande daladala. keshachukua nembo ya m4c n.k atakoma maana katolewa kafala

LOWASA IS GENIOUS!

ccm ndembendembe.
 
Msiwasahau Mama zetu watengenezeeni maeneo ya kutosha ili na wao waweze kujiendeshea maisha yao, na msiwapeleke mbali na maeneo yao ya mwanzo/awali
 
hii ni baada ya kusikia kua Lowassa ameahidi kua rafiki wa mama ntilie jamaa na yeye kaamua kucopy
 
Back
Top Bottom