Angalia na Usikie MWENYEWE!

Jamaa yupo fit vibaya kajariwa kuongea kwa hekima na busara kuliko wabunge wote wa ssm
 
Hebu anagalia na sikiliza Mbunge Wa Iringa Akiongelea kuhusu Bajeti Yetu;

Hii Hapa;

Iringa kwa Kweli Hamkukosea. Good, Very Good.

Wana Magamba Mpo? Presha inapanda Presha Inashuka!

Thanks.

"THE PROBLEMS CANNOT BE SOLVED BY THE SAME LEVEL OF THINKING THAT CREATED THEM - YOU GUYS YOU ARE TIRED"

big THUMB commander
 
Last edited by a moderator:
"THE PROBLEMS CANNOT BE SOLVED BY THE SAME LEVEL OF THINKING THAT CREATED THEM - YOU GUYS YOU ARE TIRED"

big THUMB commander

That means they have to leave the government to the people who are capable of creating solutions to problems ie CDM!
 
Hebu anagalia na sikiliza Mbunge Wa Iringa Akiongelea kuhusu Bajeti Yetu;

Hii Hapa;

Iringa kwa Kweli Hamkukosea. Good, Very Good.

Wana Magamba Mpo? Presha inapanda Presha Inashuka!

Thanks.

Najisikia fahari sana, nilichangia kwa kiasi kikubwa ushindi wa huyu mheshimiwa mbunge. Nilisafiri kutoka Dar kwenda kupiga kura kwa maana nilijiandikisha Iringa lkn kipindi uchaguzi unakaribia nilikuwa nililazimika kukatisha shughuli zangu ili kura yangu isiharibike. Pili nilishiriki kuhamasisha vijana kubaki kulinda kura nikitumia uzoefu wangu tulivyolinda kura za Wilfred Lwakatale mwaka 2000. Vijana walihamasika kweli, nakumbuka kijana about 38 years alisema yuko tayari kupigwa na polisi hadi kufa kwa maana ana ukimwi muda mrefu na CCm wamekula hela waathirika. Alisema hivyo kuonyesha kuwa hakuwa tayari kuona matokeo yanachakachuliwa, si unajua CCM bila kuwatia presha matokeo huwa yanabadilishwa. Mchungaji Msigwa hanifahamu na wala sitaki anijue ila popote ninapokuwa mimi huwa niko tayari kujitoa kuhakikisha anapatikaina mtu ambaye ni sahihi. Nikiwa naangalia anvyochangia najivunia kura yangu na muda wangu wa kulinda kura.
 
Last edited by a moderator:
Mheshimiwa Msigwa hasemi huo uzalishaji uongezwe vipi. Kasema yeye mwenyewe kwamba CCM hawawezi kutatua matatizo maana wao ndio "wametuweka kwenye mess hii, you guys are tired." Sasa suluhisho lake yeye ni nini?

Ameshambulia wazinzi na wanaotembea na wake za watu (shambulizi kwa Mwigulu mwenye sifa hiyo, ambae ndie alisema CHADEMA waombewe) lakini hapo hapo amekosoa majadaliano ya "khanga na ngonjera." Yale yale ya vijembe!

Kwenye theology kuna matundu kwenye hoja zake. Amesema hakuna nadharia ya maombi katika uchumi wala theology na kwamba Mtume Paulo alisema "asiyefanya kazi na asile," sio aombewe. Ni kweli, lakini Kristo Yesu alisema tuige mfano wa ndege wa angani, "ndege wao hawapandi wala hawavuni wala hawahifadhi chochote kwenye ghala lakini Baba wa Mbinguni anawalisha." Kesheni Mkiomba. Kwa hiyo hata Biblia hapa haina majibu.

Amesema serikali haisikilizi ushauri wa ma professa. Ushauri gani? Toa mfano!

Yeye ni mpinzani, hajaja hapa kuisifia serikali, ana wajibu wa kuipinga. Ok. Na CCM wana kosa gani kutokukusifia wewe, kwani CCM ni upinzani wenzako?

Asilimia 42% ya watoto wamedumaa ubongo, unadai. Sawa. Sasa hapa Waziri wa Fedha iandike vipi bajeti ili watoto wasidumae akili, atenge fungu la kulisha watoto samaki mashuleni kuwapanua akili?

Na mwisho, kama unadai CCM hawawezi kuwa solution kwa sababu ndio chanzo cha tatizo kwa nini unawasihi CCM hao hao walete suluhisho? Amedai watu wa "stretch their brains," lakini yeye hajatupanulia mjadala.
WEWE Kama sio MAGAMBA sijui! Muda aliopewa pale wa DK 15 kuelezea yote hayo hautoshi..Maana Wana magamba wana VIROJA laki 9 na nusu...Alichofanya pale ni Summary tu! ww hujui soma Nyakati wala hujui fanya interpretation, Uwezo wako utakuwa Mdogosana kama wana Magamba ndio maana huja muelewa....! Pole sana, ww unafanya tafsiri za Mwili na sio za kiakili na kiroho!
 
Daaaa! Hongereni sana wana IRINGA.Haya maneno huenda yakatuokoa na laana ya wajukuu zetu miaka ijayo, walau watajua kulikuwa na wenye uchungu zamani.Kama Mungu alivyosema' nionyesheni walau mtu mmoja tu mwema hapa mji wa sodoma,nami sitauangamiza mji' Hakika tunae Mh Msigwa wa kumwonyesha ili kuepuka laana ya wajukuu zetu.Nimeumizwa sana na maneno yake
 
Daaaaa!!!CDM wakimbizeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee haoooooo!huyo ni mmoja tu mbunge wa iringa mjini hata yule mwakalebela angechemsha si mchezo,. Komba,lusinde na wewe mwigulu mpoo???mmemsikia huyo mchungaji???kawashika pabaya.
 
Najisikia fahari sana, nilichangia kwa kiasi kikubwa ushindi wa huyu mheshimiwa mbunge. Nilisafiri kutoka Dar kwenda kupiga kura kwa maana nilijiandikisha Iringa lkn kipindi uchaguzi unakaribia nilikuwa nililazimika kukatisha shughuli zangu ili kura yangu isiharibike. Pili nilishiriki kuhamasisha vijana kubaki kulinda kura nikitumia uzoefu wangu tulivyolinda kura za Wilfred Lwakatale mwaka 2000. Vijana walihamasika kweli, nakumbuka kijana about 38 years alisema yuko tayari kupigwa na polisi hadi kufa kwa maana ana ukimwi muda mrefu na CCm wamekula hela waathirika. Alisema hivyo kuonyesha kuwa hakuwa tayari kuona matokeo yanachakachuliwa, si unajua CCM bila kuwatia presha matokeo huwa yanabadilishwa. Mchungaji Msigwa hanifahamu na wala sitaki anijue ila popote ninapokuwa mimi huwa niko tayari kujitoa kuhakikisha anapatikaina mtu ambaye ni sahihi. Nikiwa naangalia anvyochangia najivunia kura yangu na muda wangu wa kulinda kura.

THIS IS MY BEST EVER SPEECH TANGU NIMEANZA KUSIKILIZA NA KUFUATILIA BUNGE! naamini CCM hawatamani kabisa 2015 ifike!
 
Duuuh aise na lazima watahama tuu ---- THUMB UP CDM HUREEEY --- it is an open Dialogue and they have to compete. Wako tuu kupiga mabenchi hawa WAFISADI na kutetewa na BI KIROBOTO Anna Makinda. Tunawasubiri tuu ukweli niwauma they have no more fairy story to tell the Tanzanians, Tumesoma na ATUDANGANYIKE ------PEOPLES POWER SONGENI MBELE NEVER TURNING BACK IS OUR MOTO.
 
WEWE Kama sio MAGAMBA sijui! Muda aliopewa pale wa DK 15 kuelezea yote hayo hautoshi..
Ni kweli kabisa ana muda mchache kabisa. Sasa kama una dakika 15 tu kwa nini uzitumie kutueleza vijembe vya mtu kalala na mke wa mwingine?

Kama una dakika 15 kwa nini usiende moja kwa moja kwenye pointi badala ya kuzitumia kueleza habari za Waraka wa Pili wa Paulo, Mtume kwa Wathesalonike? Well kama unataka theology za uchumi kwenye biblia basi Yesu Kristo alisema ndege hawafanyi kazi na wako poa tu, chakula chetu ni neno la Mungu, sio mkate! Sasa Yesu na Paulo nani mkuu?

Kwa nini uzitumie dakika 15 zako kulichekesha bunge kwa kusema 42% ya watoto wa Tanzania wamedumaa akili? Sasa Waziri wa Fedha afanye nini kuwawahi akili zingali changa, ajenge chekecheka za Kata?

Una dakika 15 then hit the point, sio kutuambia nimeongea na Professa, wanasema serikali haitaki ushauri wake, ushauri gani? Toa specifics!
 
Dizbap na Wana JF,
Ukweli siku zote unauma. Ila Ujumbe umefika (Msg Delivered)
Nampongeza Mchungaji aka Mbunge Msigwa kwa kuongea ukweli halisi.
Ametoa Summary fupi iwapo inaonekana muda ulikuwa mfupi.
My Take: Tusimbeze wala kuyadharau maneno yake.
Nawakilisha

Hebu anagalia na sikiliza Mbunge Wa Iringa Akiongelea kuhusu Bajeti Yetu;

Hii Hapa;

Iringa kwa Kweli Hamkukosea. Good, Very Good.

Wana Magamba Mpo? Presha inapanda Presha Inashuka!

Thanks.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa ana muda mchache kabisa. Sasa kama una dakika 15 tu kwa nini uzitumie kutueleza vijembe vya mtu kalala na mke wa mwingine?

Kama una dakika 15 kwa nini usiende moja kwa moja kwenye pointi badala ya kuzitumia kueleza habari za Waraka wa Pili wa Paulo, Mtume kwa Wathesalonike? Well kama unataka theology za uchumi kwenye biblia basi Yesu Kristo alisema ndege hawafanyi kazi na wako poa tu, chakula chetu ni neno la Mungu, sio mkate! Sasa Yesu na Paulo nani mkuu?

Kwa nini uzitumie dakika 15 zako kulichekesha bunge kwa kusema 42% ya watoto wa Tanzania wamedumaa akili? Sasa Waziri wa Fedha afanye nini kuwawahi akili zingali changa, ajenge chekecheka za Kata?

Una dakika 15 then hit the point, sio kutuambia nimeongea na Professa, wanasema serikali haitaki ushauri wake, ushauri gani? Toa specifics!
Wewe MAGAMBA lazima..Sasa Hapo kitu gani hambacho hujaelewa....Wenzio wote tumemuelewa! Pole sana kaka. ww kama sio MAGAMBA basi Baba yako au babu au Mama au BIBI ndio magamba! Chadema Oyeeee!
 
Wewe MAGAMBA lazima..Sasa Hapo kitu gani hambacho hujaelewa....Wenzio wote tumemuelewa!
"wote tumemuelewa," wote wewe na nani? Jiongelee mwenyewe! We mgeni hapa, au? Huna wherewithal ya kujibu hoja yangu zaidi ya kusema mimi ni magamba, whatever the heck that means? Mimi ni independent observer, kama umezoea straitjacket fanaticism ya kwamba lazima uwe aidha CCM au CHADEMA then huwezi ku process ninayoyasema, I get beyond CCM and CHADEMA.
 
MHH so wewe ni MCHUNGAJI au MATHEMATICIAN? Kama upo kwenye Kundi hilo basi elezea tukupatie either Mistari from Bible ambayo inaendana na alichoongea Mh. Msigwa au Tukupatie Formula ukokotoe alichoongea Mchungaji. Choose One! Chadema Oyeeee!!
 
Hebu anagalia na sikiliza Mbunge Wa Iringa Akiongelea kuhusu Bajeti Yetu;

Hii Hapa;

Iringa kwa Kweli Hamkukosea. Good, Very Good.

Wana Magamba Mpo? Presha inapanda Presha Inashuka!

Thanks.

Asante sana dizdap,hiki kipande kilinipita nimerudia mara tano kusikiliza kwa makini. Very intelligent thinking and presentation o ideas from Msigwa,the sad thing is CCM members of parliament and the government leaders have no ears
 
Last edited by a moderator:
Asante sana dizdap,hiki kipande kilinipita nimerudia mara tano kusikiliza kwa makini. Very intelligent thinking and presentation o ideas from Msigwa,the sad thing is CCM members of parliament and the government leaders have no ears
Jamaa alipigili msumari! Very nice Presentation, Nikipata muda nitaiwekea Subtitle za Kiingereza, Na sehemu alizo Ongea Kiingereza nitaweka Kiswahili,Ili hata siku mzungu akiiona hii video ajue Huku kuna watu wanaelewa things sema System ndio mbovu,Ujue nje ya TZA watu wanafikiria sisi ni mbumbumbu kwa haya yanayofanywa na CCM!So wajiona vitu kama hivi watujua kuwa tupo fit ila System ndio MBOVU.
 
Back
Top Bottom