Angalia Mtazamo wa Wazanzibari

Nakerwa na dhana potofu ya hawa ndugu zetu! Nakumbuka miaka kama 15 iliyopita kuna rafiki yangu ambaye ni mwislam aliulizwa na kakake kuwa "kwanini umefeli kwa mara ya pili tena mdogo wangu?" Yaani huwezi amini yule rafiki alimjibu kakake (mbele yangu) kuwa "kaka, unajua kule balaza la mitihani sisi wenye majini ya kiislam ngumu sana kufaulu, kwa wenzetu wakristu hata kama hajafanya vizuri inakuwa rahisi kuwekewa mark nzuri na kufaulu" Dah nilipata hasira sana kwa majibu majibu ya kibaguzi ya rafiki yangu na dhana potofu aliyokuwa nayo, kabla sikujua kama alikuwa mpumbavu kiasi hicho. Sasa baada ya kuona heading ya hilo gazetu hapo imekunikumbusha huyo rafiki yangu. Lakini wapo wengi pia ambao wanaamini hivyo, lakini mbona wapo waislam ambao wanafanya vizuri! Nadhani hao ambao inakuwa ngumu kujishughulisha na masoma wanakuwa na dhana mbaya kabisa hiyo. Ni akili mbaya sana hiyo. Yaani nilitamani nimpige kibao huyo rafiki yangu.

huyo dogo kama ndo dogo langu nalikata ngwala,,,jinga kabisa hilo,,,,yaani naudhiwa na wenye mawazo fake kama hawa,,,,,,
 
Shida ni kwamba hawa wenzetu kwao mamalamiko ni sehemu ya maisha yao, mbaya zaidi ni yasiyo na msingi zaidi ya majungu ya mtu aliyeshindwa. Ndio maana wakati tunajidhatiti kuiandaa katiba mpya itakayotuletea mabadiliko, wenzetu wao kilio chao ni kutambulika kikatiba ufugaji wa ndevu na kuvaa vilemba ofisini, ina maana yote yanayohusu kilimo, biashara, shule, muundo wa serikali n.k wao hawana shida nayo, tufanye sisi wao wako bize na ndevu na OIC.

mimi siamini kwamba sisi waislam ili tufanikiwe basi lazima tujiunge na OIC,,,,,,
 
Bajabiri bana leo umewatolea uvivu,ILA msemakweli ni mpenzi wa Mungu.waambie ukweli wasiangamie kwakukosa maarifa.
 
Bajabir, taratibu ndugu yabgu, baadhi ya waislam hawataki kukosolewa, utaitwa msaliti............,

Gama, Bajabir yuko right kabsaaa! Mi ni muslim, nimepitia NECTA, na nimepata matokeo tarajiwa ktk level zote, bidii tu ya kusoma pamoja na walimu. Hakuna miracle!
 
Ni vitengo gani nyeti wanataka? Hivi wabara wangapi wenye madaraka Zanzibar? Tujifunze kuelewa hata zile idara za muungano ni lazima apatikane mtu mwenye uwezo na sii ubara na uzanzibari tuu! Kama ulikimbia umande usisubiri fadhila
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom