Angalia Mtazamo wa Wazanzibari

Nakerwa na dhana potofu ya hawa ndugu zetu! Nakumbuka miaka kama 15 iliyopita kuna rafiki yangu ambaye ni mwislam aliulizwa na kakake kuwa "kwanini umefeli kwa mara ya pili tena mdogo wangu?" Yaani huwezi amini yule rafiki alimjibu kakake (mbele yangu) kuwa "kaka, unajua kule balaza la mitihani sisi wenye majini ya kiislam ngumu sana kufaulu, kwa wenzetu wakristu hata kama hajafanya vizuri inakuwa rahisi kuwekewa mark nzuri na kufaulu" Dah nilipata hasira sana kwa majibu majibu ya kibaguzi ya rafiki yangu na dhana potofu aliyokuwa nayo, kabla sikujua kama alikuwa mpumbavu kiasi hicho. Sasa baada ya kuona heading ya hilo gazetu hapo imekunikumbusha huyo rafiki yangu. Lakini wapo wengi pia ambao wanaamini hivyo, lakini mbona wapo waislam ambao wanafanya vizuri! Nadhani hao ambao inakuwa ngumu kujishughulisha na masoma wanakuwa na dhana mbaya kabisa hiyo. Ni akili mbaya sana hiyo. Yaani nilitamani nimpige kibao huyo rafiki yangu.
 
lugha ni lugha tu, hata kimachinga ! Issue ni kwanini majibu hayafanani nAukweli ?

Acha jazba, kama kuna mtu anadhani ameonewa sheria inamruhusu ku-appeal. Mtihani unasahihishwa mbele yake na mashahidi, mbona kila siku ngonjera tu hamna hata mmoja wenu aliyewahi kuappeal?

Hilo suala la kufeli Islamic knowledge na wengine kufaulu Bible Knowledge nalo unataka kumlaumu nani. Zile bakora na kulazimishana kukariri maneno ya kiarabu uliambiwa zina msingi ktk kumfanya mtoto aelewe? Kaeni chini mjiulize sio kelele zisizo na msingi.
 
Rwakatare kaiba sana mitihani leo mko kimya !

Ndio maneno yenu yanavyofanana na makaburi. Hivi unaweza kuilinganisha St. Mary's na Masjid Qubba Islamic seminary? Shule imejaa watu ambao tayari wamefeli, mazingira ya kusomea ndio yale na bado huoni maabara na viwanja vya michezo vilivyopo St.Mary's ukalinganisha mpk uje kudisplay upungufu wako wa uelewa hapa?

Maneno haya ndio mnaongea mbele ya watoto na wadogo zenu basi na wao wanayaweka akilini na kuamini hivyo mwisho wa siku 0
 
Acha jazba, kama kuna mtu anadhani ameonewa sheria inamruhusu ku-appeal. Mtihani unasahihishwa mbele yake na mashahidi, mbona kila siku ngonjera tu hamna hata mmoja wenu aliyewahi kuappeal?

Hilo suala la kufeli Islamic knowledge na wengine kufaulu Bible Knowledge nalo unataka kumlaumu nani. Zile bakora na kulazimishana kukariri maneno ya kiarabu uliambiwa zina msingi ktk kumfanya mtoto aelewe? Kaeni chini mjiulize sio kelele zisizo na msingi.
kukariri ndo kumeifanya Quran ni original mpaka leo ! Una Bible original ?? ! Kujiuliza ndo huko sasa !
 
issue hapo si Uzanzibar, Wagalatia mna roho ya choyo na ndo maana mnakurupuka kuchangia ! Mmejaa dharau na kiburi, lete 'contents' za hiyo habari, lakini karibuni tu mtaumbuka. Walim wa Kiislaam wanahoji iweje 70pcnt ya Wanafunzi wafeli Islamic Knowl. Lakini hapo hapo 90pcnt wamepasi Bible Knowl ? Imejengwa hoja kwa data ! Na hili litaumbua watu karibuni tuu !
kwani hiyo mitihani ya dini wanai mark watu wa aina gani? mgalatia anaweza kusahihisha mtihani wa islamic knowledge?
 
kukariri ndo kumeifanya Quran ni original mpaka leo ! Una Bible original ?? ! Kujiuliza ndo huko sasa !

Kwa hiyo ndio akili hizo za kukariri unataka ukafanyie hisabati za Master Ndewingia au Kapteni Didas James? We unaumwa kweli kweli. Endeleeni kukariri na kulalama, watoto wenye wazazi haooo wanapasua pepa huku wakwenu mkiwajaza manung'uniko na chuki mpk wanadumaa ili suruali njiwa ziwatoshe. Na Mungu wa kweli hapendi manung'uniko, sijui labda mungu wenu wa 'olijino'

Kalaghabaho!
 
kwani hiyo mitihani ya dini wanai mark watu wa aina gani? mgalatia anaweza kusahihisha mtihani wa islamic knowledge?

Hiyo mitihani hata wangekuwa wanajisahihishia watahiniwa wenyewe, wangefeli tu. Nitakwambia kwa nini.

Quran Sura 5:90 na Sura 2:219 zinasema mambo ya breweries ni kazi ya mikono ya shetani, halafu Quran hiyo hiyo Sura 47:15 na Sura 83:22,25 zinasema kuwa peponi kwao kuna mito inatiririka chibuku (kwa hiyo utaona kuna ushkaji kati ya mwenye peponi na ibilisi ndio akampa tenda ya kusupply drinks), sasa mpaka hapo mwanafunzi akiulizwa kama mvinyo ni mwake au sio mwake si itabidi ajibu kiushabiki tu manake hata Quran yenyewe imejimix.

Nina wasiwasi jamaa wakati anaiandika alikuwa katoka mtoni kwa hiyo alikuwa yuko bwaksi tayari
 
kukariri ndo kumeifanya Quran ni original mpaka leo ! Una Bible original ?? ! Kujiuliza ndo huko sasa !

Umeshindwa mitihani ya kidunia utaweza Bible? Biblia ni Gombo la Chuo. Haisomwi kwa kukariri na kupoteza muda mpk ukose muda wa kunyoa ndevu. Ili uielewe yahitaji busara na uchaji kwa Mungu si pepo mchafu.

Hapo umeulizwa kwa nini hamu-Appeal mitihani unakimbilia kwenye Bible. Swali ni hivi: Kama mna hakika kuwa mnaonewa kwenye usahihishaji, si muappeal ili irudiwe kusahihishwa na ukweli ujulikane? Sasa hamuoni aibu kupiga kelele za kimbeambea tu kutwa kucha?

Kama kweli mnadhani mnaonewa sheria ipo wazi, nenda baraza la mihitani uwaambie kuwa unataka mtihani wako usahihishwe ukiwepo lkn sio kuleta mambo ya kinamama wa kiswahili ya kuchonga mdomo tuuu km mwimba taarab
 
Kipindi hiki mna mpango wa kufuta maneno gani!?
 
watz tunaacha kujadili mambo ya msingi km umaskini tulio nao tunajikita ktk tofauti za kidini! Km kuna malalamiko ktk usahihishaji,taratibu za rufaa zipo wazi!
 
Kipindi hiki mna mpango wa kufuta maneno gani!?

Very shallow and pathetic when comes to logic. Huu ndio ujinga wenyewe unaowafanya mfeli na kusingizia watu wengine, hapa swali la msingi uliloulizwa ni kwa nini hamu-appeal. Tazama ulivyo mswahili usiye na pa kusimamia, umekimbia kujibu swali unaleta ngonjera za kubadili mistari.

Kiukweli km akili ipo basi itumike kusolve matatizo. Huu mtindo wa kuongozwa na watu ambao kwao darasa la saba lenyewe walikutana nalo kwa bahati mbaya ndio msingi wa udumafu wa jamii yenu. Jibu hoja ya msingi, acha maneno ya kuunga unga.

Kama mnaamini mitihani yenu husahihishwa kwa hila, mlishawahi kua-appeal?
 
Mkuu wewe inafaa uwaelimishe wenzio kuhusu hili!
Nashukuru kwa upande wako umelitambua!

tukimung'unya maneno,hawa watoto wataendelea kusema kuwa wanafeli kisa uislam wao,na watasema hakuna haja ya kusoma tunafelishwa
 
waislam tukifeli mitihani ya kidunia basi inshaalah tutafaulu akhera innalilah wahinnah......
 
Very shallow and pathetic when comes to logic. Huu ndio ujinga wenyewe unaowafanya mfeli na kusingizia watu wengine, hapa swali la msingi uliloulizwa ni kwa nini hamu-appeal. Tazama ulivyo mswahili usiye na pa kusimamia, umekimbia kujibu swali unaleta ngonjera za kubadili mistari.

Kiukweli km akili ipo basi itumike kusolve matatizo. Huu mtindo wa kuongozwa na watu ambao kwao darasa la saba lenyewe walikutana nalo kwa bahati mbaya ndio msingi wa udumafu wa jamii yenu. Jibu hoja ya msingi, acha maneno ya kuunga unga.

Kama mnaamini mitihani yenu husahihishwa kwa hila, mlishawahi kua-appeal?

mdau wata-appeal nini wakat hakuna walichojibu,,,,halafu wacha niseme kitu hapa,kwamba uitaj wa walim wa kwenda kusahihisha NECTA wala si wa upendeleo,wao kigezo chao kikubwa ni kwamba uwe umefanya kazi atleast miaka mitatu,na shule za private hupata sana hii fursa,shule yangu mimi kila mwaka walim wanaenda ku-mark(islamic school),sasa hapo kuna upendeleo gani????
 
issue hapo si Uzanzibar, Wagalatia mna roho ya choyo na ndo maana mnakurupuka kuchangia ! Mmejaa dharau na kiburi, lete 'contents' za hiyo habari, lakini karibuni tu mtaumbuka. Walim wa Kiislaam wanahoji iweje 70pcnt ya Wanafunzi wafeli Islamic Knowl. Lakini hapo hapo 90pcnt wamepasi Bible Knowl ? Imejengwa hoja kwa data ! Na hili litaumbua watu karibuni tuu !

NA NYIE FANYENI DIVINITY KAMA UiSLAM UMEKUWA MGUMU KUFAULU
 
Jaman hedingi ya hapo ni necta na zanzibar na uislam kwa ujumla,,,tulijadili hilo,tusipindishe mada kwa kukashifiana kwenye iman zetu.....
 
waislam tukifeli mitihani ya kidunia basi inshaalah tutafaulu akhera innalilah wahinnah......

mungu anamzungumziaje asiye na elimu????jambo la kwanza mtume kufundishwa ni Elimu,,,,,WAISLAM WENZANGU TUJIPANGE,tuhangaiken sasa 'MKAPA' alitupa yale majengo ya MuM,hadi sasa tuna campus ngapi????sasa huko nako Ndalichako anahusika???,,,yaan naposikiliza redio zetu(islamic radio) kuna wakat naamua kuhama station,labda kuwe na mawaidha,maana mijadala imekaa katika hali ya kuwadumaza sana akili vijana wetu wa kiislam kwamba wanaonewa,wananyonywa,wanabaguliwa,wanafelishwa,,,,,,sasa mtoto akisikia kwenye radio ataamini kweli anaonewa,,,,mashekh wanazungumza juu ya kuonewa,ila siwasikii wakisema tumepata kiwanja cha hekar kumi tutajenga zahanat au shule,tumepata eneo tutajenga hospitali ya rufaaa,,,,,jina langu linajipambanua kwa uislam lakini hata napopata vikwazo huwa siamin eti ni kwa sababu ya uislam wangu,naamin ni changamoto na urasimu ulokuwepo,na ntaendelea kuamini hivyo na huwa nawaambia wanafunz wangu pambaneni mtafanikiwa mkijidhoofisha hamtotoka,,,,,WAISLAM TUACHE UMWINYI,TUACHE UVIVU TUPAMBANE KUBADIL HALI ZETU
 
watz tunaacha kujadili mambo ya msingi km umaskini tulio nao tunajikita ktk tofauti za kidini! Km kuna malalamiko ktk usahihishaji,taratibu za rufaa zipo wazi!

Shida ni kwamba hawa wenzetu kwao mamalamiko ni sehemu ya maisha yao, mbaya zaidi ni yasiyo na msingi zaidi ya majungu ya mtu aliyeshindwa. Ndio maana wakati tunajidhatiti kuiandaa katiba mpya itakayotuletea mabadiliko, wenzetu wao kilio chao ni kutambulika kikatiba ufugaji wa ndevu na kuvaa vilemba ofisini, ina maana yote yanayohusu kilimo, biashara, shule, muundo wa serikali n.k wao hawana shida nayo, tufanye sisi wao wako bize na ndevu na OIC.
 
Back
Top Bottom