Angalia Maiha ya mjini hayo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
<table border="0" cellspacing="3" width="100%"><tbody><tr><td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">UKARABATI:BARABARA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
UKARABATI%20BARABARA.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Wakazi wa mjini Kigoma wakishangaa kazi inayofanyika ya ukarabati wa barabara ya ujiji hadi mjini ambapo kampuni ya kichina inaendelea na kazi hiyo. Picha na Leonard Mubali)</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/26/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MAZIWA:NAUZA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
MAZIWA%20NAUZA.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mkazi wa Manispaa ya Morogoro akipima maziwa katika chupa ya lita moja kwa ajili ya kuwauzia wateja wake katika mtaa wa Mlapakolo mjini mkoani humo ambapo kipimo hicho huuzwa kati ya sh 600 hadi 700. Picha na Juma Mtanda</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/26/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">DRIPU:ZIMEHARIBIWA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
DRIPU%20ZIMEHARIBIWA.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Muuguzi msaidizi na msimamizi wa maabara ya zahanati ya Homboza wilayani Kisarawe mkoani Pwani, Saidi Mgeni akiwaonyesha waandishi wa habari dripu zilizoliwa na panya kutokana na kukosa sehemu salama ya kuhifadhi dawa na vifaa vya zahanati hiyo. Picha na Silvan Kiwale</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/26/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">UTAFITI:KILIMO</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
UTAFITI%20KILIMO.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Mtafiti wa Kituo cha Kimataifa cha Utafiti wa kisayansi wa Mazao ya Kilimo cha Japan, Ahihiko Kosugi kusu (kulia) juu ya utengenezaji nishati ya mafuta kwa kutumia zao la mchikichi wakati alipotembelea kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini Japani, jana. Kushoto ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira na wapili kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Japan, Salome Sijaona. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/26/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MSAADA:MMEFURAHIA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
MSAADA%20MMEFURAHIA.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi isiyo ya Kiserikali inayojishugulisha na maendeleo ya Elimu kwa wasichana waishio katika mazingira magumu hapa nchini,Lilian Tarimo (kulia) na Afisa Elimu Ufundi Manispaa ya Temeke,Salum Upunda wakifurahia jambo na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mwongozo baada ya kuwakabidhi madawati 70 yaliyotolewa na asasi hiyo kati ya 100 waliyoahidi kuchangia shuleni hapo wakati wa hafra ya makibidhiano iliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam jana.Picha na Venance Nestory</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/26/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">TUTAPITAJE</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
TUTAPITAJE.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Vijibweni wakitafakari jinsi ya kumpita mlinzi anayelinda eneo la kivuko cha feri baada ya kupita eneo lisiloruhusiwa kupita watu kama walivyokutwa na mpigapicha wetu jana. Picha na Venace Nestory</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/26/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">FOLENI:MAGARI DAR</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
foleni%20magari.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Magari yakiwa kwenye foleni katika Barabara ya Bibi Titi Mohamed eneo la MnaziMmoja jijini Dar es Salaam, kutokana na ongezeko la magari jijini kumesababisha barabara nyingi kutopitika kirahisi nakusababisha kero za foleni kwa waendesha magari. Picha na Fidelis Felix</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/23/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MKUU WA WILAYA YA KISARAWE</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5CMIBONO.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Hanifa Karamagi (kulia) akizungumza na wafanyakazi wa mradi wa zao la Mibono wilayani humo, unaomilikiwa na mwekezaji kutoka nchini Uingereza, kampuni ya Sun Biofuels kwa lengo la kuzalisha nishati ya mafuta ya dizeli.</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/23/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">KAMBI:WATOTO</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5CKAMBI.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Watoto wa wanaoishi katika kambi ya wakimbizi ya Nduta wilayani wakiendelea na shughuli zao kambini hapo. Mkoa wa Kigoma pekee yake ulikuwa na kambi tisa za wakimbizi ambapo sasa umebakiwa na kambi mbili katika wilaya ya Kasulu. Picha na Leonard Mubali</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/23/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">NAUZA:KUKU</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5CNAUZA.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mfanyabiashara wa kuuza kuku katika Manispaa ya Morogoro akiwaweka kuku katika baiskeli yake baada ya kuwanunua jumla katika soko la kuu mjini kisha kuwatembeza kwenye mitaa ya mji huo kuwauzia wananchi rejareja. Picha na Juma Mtanda</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/23/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">WATOTO:TUNABEBA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5CWATOTO.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Wakazi wa mkoa wa Dodoma wakiwa wamebeba watoto katikati ya mji huo jana. Haikufahamika mara moja uhusiano wao katika hali inayoonyesha kusaidiana majukumu. Picha na Jube Tranquilino

</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/23/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MKURUGENZI:NI HIVI</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5Cmkurugenzi.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mkurugenzi Mtendaji wa Tianshi nchini, Ammy Lee (kushoto) akimsikiliza kwa umakini Mratibu Elimu na Masoko kampuni hiyo, Elly Majaliwa, walipohudhulia mkutano wa afya na uwezeshaji kwa wakazi wa mkoa wa Morogoro wa kuwapatia mbinu za kuendesha biashara. Picha na Juma Mtanda</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/23/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">MVUA:UHARIBIFU</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5CMVUA.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Sehemu ya barabara ya kilwa eneo la Kipati, ikiwa imemegwa na maji ya mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam kama ilivyokutwa jana. Picha na Michael Jamson</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/23/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">WANANCHI:MMENIELEWA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5CWANANCHI.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, akihutubia katika mkutano wa Oporesheni Sangara katika Uwanja wa Sabasaba mjini Kondoa juzi. Picha na Mpigapicha Wetu</td> </tr> <tr> <td bgcolor="#e6e6e6" width="85%">
3/23/2010​
</td> </tr> <tr> <td class="submenu" bgcolor="#ffffe1">BIASHARA:FEDHA</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffffdf">
%5Cbiashara.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="storytext" bgcolor="#ffd9d9">Moleli Mbogo akipanga sarafu za senti tano, senti kumi, senti ishirini, senti hamsini na shilingi moja ambazo huziuza kati ya sh 2000 hadi sh 5000 kwa moja kama alivyokutwa akifanya biashara hiyo eneo la Posta jijini Dar es Salaam jana.Huuza pia sarafu za zamani za nchi nyingine za Afrika Mashariki na kati. Picha na Zacharia Osanga</td></tr></tbody></table>
 
Back
Top Bottom