Angalia huyu jamaa alivyomjua mbaya wake!

Kyoombe

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
1,194
766
Jamaa mmoja alikuwa na marafiki wa3, na kati yao mmoja alikuwa anatembea na mke wake. Siku moja akawakaribisha wote wa3 kwa chakula na vinywaji. Wakati wanaendelea kunywa, jamaa akaingia ndani akatoka akiwa ameshika mkuki, akasimama mbele yao kwa hasira akasema leo ndiyo siku ya mwisho kwa yule anayetembea na mke wangu. Basi yule mbaya wake alitoka nduki kwa spidi akatomea!
 
baada ya kutokomea?
 
Back
Top Bottom