Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
nipo tayariii..Just beautiful!
(God help me to get a husband like this)
Viongozi wa kibongo wako busy na ufisadi; watawezaje kupiga picha au kutulia na wake zao?
Kwa case ya Obama hana tofauti na Mkulu wetu hapa bongo but we cant speak of his ministers kama nao wako kama wetu ..........!!
Mwana unamaanisha na Obama nae ana nyumba ndogo?
hahahahahahahah!
nipo tayariii..
una mapenzi lakinii au wataka mbwembweee tuuuuuu
Simaanishi hivyo ndo mana nikauliza kama nimemix sikuelewa. Nilichoelewa ni kuwa hizi pics zinamwonyesha Obama na mkewe na mtoa mada akasema na viongozi wetu wawe hivi nikaelewa kuwa rais anatakiwa kumpublicise mkewe na kusafiri naye kila aendako na mkewe huyo awe anatambulika na watu wote. Of which hata Kikwete anafanya. Asa hayo ya nyumba ndogo sikuwa nimeyafikiria kwa kuwa hayajakuwa potrayed kwenye picha hizo (in short that is the message that I got after looking at the pic)
But hey as far as Obama is concerned......can we speak on his behalf? Inawezekana akawa nao maana mbona Clinton pamoja na kumtambulisha Hillary dunia nzima na kwenda naye kila kona bado kina Lewinsky walikuwepo?