Mtoto anaonekana kachoka halafu ana njaa.
Maisha bora kwa kila mdanganyika.
mkuu. . . Afadhali mihogo ipo, mibichi unakula, ukichemsha mwake tu, ukikaanga shega, ukikausha na kusaga upate unga unapiga game na maharage, au hata mchicha pori.
Ila daaaah!!!
Mimi naona naona dogo kama vile kiburi hataki kazi anataka acheze na wenzake,inaonekana kama amalazimishwa kufanya kazi,ila hiyo picha imenikumbusha mbali sana maana hiyo kazi ya kumenya mihogo nimeifanya sana kijijini enzi hizo.
nchi yetu yenye madini mengi
Sad...yaani inaonesha kiasi gani maisha yalivokuwa magumu.
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
Inawezekana anacheza tu. Watoto wa kiume wana mambo sana. Si ajabu anafurahia utundu wake tu hapo, and life goes on.