ANGALIA HAPA KAMA JINA LAKO LIKO HAWA NI KWAWALE AMBAO INFORMATION ZAO HAZKOUndergraduate applicants with multiple problems in their application forms:A S 465:
kaka mbona hyo attachment ipo empy? Yaan hayo majina hayapo katka hyo link n ni mpya au ya zaman?
mie imenichosha tangu jana nikadhani maybe browser ya simu yangu inazingua.
naona bado inagoma tu kwa kutumia operamini browser kwenye simu. Ila ukitumia ucweb browser unayaona bila shida.
ndo manaake,thanx God sipo.Hiyo list ina majina,ila huwezi ona kwa kutumia operamini browser kwenye simu. Ukitumia UC WEB BROWSER au PC unayaona vizuri.
Msafiri Kasian ahsante mkuu vipi ndio hayo tu au kuna mengine.
kaka mbona hyo attachment ipo empy? Yaan hayo majina hayapo katka hyo link n ni mpya au ya zaman?