Angalia Hali tete UDOM leo!

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa UDOM asubuhi ya leo, Serikali isipokuwa makini inatengeza bomu kubwa sana after few years!!

b6t0g3.jpg
vx2rlu.jpg
oppt0z.jpg
2637l0y.jpg
wi1snt.jpg
 
Poor HR recruitment, ita watu wachache wenye sifa kwa interview. Ni upumbavu kuitakia watu mia kwa nafasi kumi.
 
Poor HR recruitment, ita watu wachache wenye sifa kwa interview. Ni upumbavu kuitakia watu mia kwa nafasi kumi.

sio mia kaka, kuna position ya hr manager, nafasi ni 12 lakini sistangu aliniambia alikuta raia ka buku hv, na karibu nusu ya walioitwa hawakuka! ni nowmer!
 
nashangaa kwani walipotuma maombi hawakutuma na cv zao? Kwanini chuo hakiuanza kufanya mchujo kwa cv na kuwabakisha wachache kwa interview.
Wangepokea maombi kisha wakachuja kutokana na CVs jinsi zilivyokaa baadae wakatangaza majina machache ambayo ndiyo yatafanyiwa interview.
 
Nikweli aisee, hai ingii akililni kuita watu 1224 kuja kugombea nafasi 10 tu, umtoe mtu kidabaga kweli? labda huu ni mfumo mpya na watuambie faida zake ninini...
 
Lazma tanzani tufanye interview kwa kutumia software. Itasaidia kuundoa usumbufu huu.
 
Pspf na hata crdb wamefanya kama udom walivyofanya, may be huu ndio utaratibu mpya. HR tufahamisheni why this.
 
Kama hari ndio hii basi somo la Entrepreneurship linatakiwa kutiliwa mkazo mashuleni inasikitisha kuona watu zaidi ya 1000 wakigombania nafasi kumi this is very shame kwa wasomi wetu wakati kuna opportunity kibao bongo.
 
Back
Top Bottom