rmashauri
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 3,011
- 454
Wandugu msitie shaka, ile nguvu ya uchawi inayowatia usingizi viongozi wetu wasiweke kipaumbele kwenye mambo ya maendeleo sasa inaanza kuporomoka. Maana haiingii akilini eti pesa za kuwekeza kwenye umeme hazipo ili hali mabilioni ya pesa zaidi ya 200 za kutengeneza vitambulisho visivyo na maana yoyoyte kwa maendeleo yetu eti zipo. Something must be wrong somewhere. Tuzido tu kumwomba MUNGU na kuangusha nguvu za giza zinazowafunga viongozi wetu ili akili zao zifunguliwe watoe kipaumbele kwenye mambo ya maendeleo ikiwemo sekta ya umeme.