Angalau utumishi wameskia kilio changu

Mkuu wewe ni mbinafsi sana,mbaki kitu kiwe kizuri kwa upande wako ndiyo kinakuwa cha maana.Kikiwa kizuri kwa watanzania wengi kinakuwa hakina maana!!
Mwambieeeeeeeeee...Watu wengine kazi kulalamika tu hata kama hawana sifa
 
Waache wasio iamini SEKRETARIETI YA AJIRA waendelee hivyohivyo,ni watu wanaoamini hawawezi kupata kazi bila kumjua mtu,hawauamini uwezo wao.siku wakigundua itakua too late.Nawashauri endeleeni kuomba kwa kasi ya ajabu.mimi na washkaji zangu, watoto wa wakulima tulihangaika sana hapa mjini mara baada ya kumaliza chuo lakini SEKRETERIETI ikawa mkombozi wetu. bila kumjua hata mlinzi tukalamba shavu
 
Baada ya kulalamika kua siombi kazi utimishi, haya mamuzi yalitokana na kutoitwa nafasi yoyote kati ya nilizoomba.

Sasa utimishi wameamua kunita kufanya interview zao kwa kasi kubwa,.

Interview moja nimefanya jumamosi iliyopita pale nyang'ombe chuo na sasa nimeitwa tena jumamosi ijayo pale pale chang'ombe,.
Heshima kwenu wanajf kwa kunipa moyo.

:tea: kila la kheri!
 
:tea: kila la kheri!

nyingine ni typing error na wew sio kila kitu cha kukosoa vingine unaviacha kama vilivyo coz hata ukikosoa huadd value yoyote huyo jamaa kila mtu kaelewa kuwa anamaanisha chang'ombe
BADILIKA BANA DAAAH
 
Ni kweli ila kwenye kusahihisha mitihani ya usahili hili linahusika sana. Kule hawaangalii kwamba "hii ni kosa la kiuandishi". Huko ukikosea herufi umekosa swali lote!

nyingine ni typing error na wew sio kila kitu cha kukosoa vingine unaviacha kama vilivyo coz hata ukikosoa huadd value yoyote huyo jamaa kila mtu kaelewa kuwa anamaanisha chang'ombe
BADILIKA BANA DAAAH
 
Baada ya kulalamika kua siombi kazi utimishi, haya mamuzi yalitokana na kutoitwa nafasi yoyote kati ya nilizoomba.

Sasa utimishi wameamua kunita kufanya interview zao kwa kasi kubwa,.

Interview moja nimefanya jumamosi iliyopita pale nyang'ombe chuo na sasa nimeitwa tena jumamosi ijayo pale pale chang'ombe,.
Heshima kwenu wanajf kwa kunipa moyo.

mrejeshoooooo
 
kuomba mungu 2 maana hii nchi kazi kupeana wanaweza kuita kam sheria,Endapo ukipata hiyo kazi basi nami ntaomba kazi utumishi.

MKUU USISITE kuomba kazi za utumishi binafsi nina shuhuda kadhaa hai ndugu na rafiki zangu kadhaa wameajiriwa kupitia hii tume pasipo na hali yoyote ya udanganyifu au hila!
 
Sina sababu ya kuchukia kwani hayo ndiyo maendeleo,hoja yangu ni kwamba ni vema kutambua kuwa unapokuwa hauitwi kwenye interview,ujue kuwa kuna watanzania wenzako wameitwa kwenye kwenye hiyo interview!na kwa upande mwingine,unapoitwa wewe kwenye interview ujue kuna wenzio hawajaitwa kwenye interview!kwa hiyo hukuwa na sababu ya kuacha kuomba kazi Tume ya Utumishi wa Umma!

haya ni maneno ya hekima kubwa,hongerah mkuu!
 
Baada ya kulalamika kua siombi kazi utimishi, haya mamuzi yalitokana na kutoitwa nafasi yoyote kati ya nilizoomba.

Sasa utimishi wameamua kunita kufanya interview zao kwa kasi kubwa,.

Interview moja nimefanya jumamosi iliyopita pale nyang'ombe chuo na sasa nimeitwa tena jumamosi ijayo pale pale chang'ombe,.
Heshima kwenu wanajf kwa kunipa moyo.

hujui kuwa interview ya oral ni leo pale maktaba ya taifa? kama huja -attend ya leo ujue ile ya Juma mosi hukupita!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom