Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Nikiwa naendelea na kutafuta elimu katika dunia ya kupendana tuwili ,safari hii kumekuwepo na hali ya kunibabaisha sana kiasi ya kushindwa kuelewa ni hali gani inafaa kufanya mapenzi au tendo la ndoa uwepo na mchuchu wako au kimwana unaetarajia kukutana nae ili kuridhishana kwa kila kitu mtakachokubaliana mkiwa ni ninyi tu wawili na uwanja ni wenu au wetu.
Hapa kuna walioniambia ni bora muwe mbali na mji ,huyu sikumfahamu maana simu yake ilikwisha betrii na kukatika ,alikusudia bora mwituni,vichakani au kwenye uwanda usio na miti labda kandokando ya bahari ,hivyo aliniwacha kwenye mataa ,katika kudadisi wengine niliwasikia wakisema bora kwenye chumba tu kuweko na muangaza hapa palizuka ubishi na wengine kudai bora giza niliondoka maana makelele yalizidi na pakawa hapaeleweki kitu ,niliondoka huku nikiwa na mtihani kichwani.
Wakati nikinywa kahawa tayari kwa kurudi nyumbani kulikuwa na kamziki kakilia kwa mbali au tuseme kwa sauti ya chini isiyo navishindo kalikuwa kama kanachombeza hapo akazuka aliekuwa na daydreams na kumaka kamziki hako ukiwa na mpenzi wako kwenye kitanda mnaweza mkakesha mpaka jogoo la alfajiri kwa makolomwezo ya mapenzi bila ya kuchelewa alizzuka mshindani na kudai wakati wa mahaba ya kitandani ni bora kusiwe na sauti yeyote ile hata sauti zenu ziwe si za kawaida na zenye kutamka maneno ya ajabu ajabu tena yasio sikika vizuri ,waliokuwa jirani na mazungumzo hayo wakaguna na kusema sasa ikiwa kila kitu kimya si mtashughulisha wapita njia wanaokatiza chini ya madirisha ,duh kusikia kauli ya mtu huyo ikihoji nikaamua kujiondokea na kuniwacha kwenye mchuano wa mawazo ,kwa bahati ninapokaa ipo internate cafe ndio nikawahi hapa kupata maneno ya wanachama wa JF ambao nina hakika watakuja na mawazo yenye taaluma na kuchanganua dataz ,wakichanganyisha na ushahidi kamili na hata wala wale wenye experiancee za majambo haya ambao wameshapitia kila dizaini na kutuchambulishia ukweli ni upi ili mtu afaidi na kufaidishwa ingawa katika hiyo pitapita yangu kuna mmoja nilimsikia akishusha madai kuwa anaefaidi ni yule anaepiga makelele kinyonga mmoja akarusha ulimi na kusema unajuaje pengine anaumia.
Wana JF kitengo cha mahusiano mapenzi na urafiki mnasemaje na kutufundisha kitu gani pamoja na kutoa funzo kwa hayo matatizo yaliojiri hapo juu ukweli haswa ni upi ? Pengine kuna tofauti ya makabila kupenda kiza na mengine kupenda mwangaza labda mengine huinjoi zaidi vichakani na pengine wengine ni wapenda makelele ,uwanja kwa wajuzi wa mambo !