Android vs iPhone/iOS

Given Edward

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
850
202
Habari wakuu.
As you might have noticed, i'm a big fan of iPhone na kila kitu kilichokuwa Steve-jobbed. Hivi karibuni Apple wali-release iPhone 4S (iPhone for Steve) ambaye saa hizi amefariki (I wonder kama kwenye jiwe la kaburi lake wameandika iDead).
Sasa basi, kuna mtu alinikuta nikiwa kwenye Steve joblizing (nikiwa namsifia Steve) kupitia iPhone yake. Kaanza kunipinga KATAKATA! Anadai Android ndo kila kitu. Wataalam ndio nyie, mnadhani nani mkali? iPhone au Android?

Nawasilisha.
 
Android inajitahidi ila IOS inaweza'....

:poa.............'IOS'...............
:poa

iOS is mobile operating system ahead of its tym...jus check out the new featuresof iOS 5imbayo inakuwa released ndani ya muda si mrefuu ni noooomaa android is nothing compared to iOS....!
 
ahh yaani hapa natumia HTC incredible S ni noma .... Adroid OS kuanzia 2.1 ndio mpango mzima.

ila wabongo wengi sio Adroid funs utamu wake hawaujui...
nilikuwa na msela wangu alikuwa na I pad , nikamwambia asus wametoa pad kama hiyo lakini ni Adroid OS , alikuwa akinibishia alipo kuja kuiona mwenyewe alikiri Adroid OS ndio mpango mzima .
 
i love both of them for their functionality...simplicity ya iOS naipenda sana na nzur na it gets job well done quicky,rich apps,bt 4 droid i love its customization abilities and a large moding community (XDA) Kila moja ina faida na hasara zake...to each their own!
 
android nimeanza kuitumia last week, ni kali kinoma, hauwezi linganisha na yoyote kwa sasa
 
mimi napenda android kwakuwa inakupa uwigo mpana zaidi hasa kwa wataalam wa mambo hizi kufanya mambo mengi.
 
Sidhani kama ni sawa kulinganisha ios na android os...
ios is far better than android...hapa natumia iphone 4 na galaxy s2...kura yangu kwa iphone.
 
Iphone ndio mwisho yaana androids zipo kimafungu kama hamsini hivi zinashindana na iphone moja tuu yaani hapo wapi na wapi. Jumlisha zote htc kina sumsung, motorolaz na zote zinashindwa. Nashukuru mungu angalau mzee Steve jobs aliwapa changamoto sikuhizi ingawa wanakopi tuu mambo ya iphone lakini wanajitahidi labda siku moja wanaweza wakaipa changamoto iphone miaka kama kumi ijayo hivi wakielewa somo. Tatizo android wanaleta vitu vimepikwa nusu mfano unahaidiwa chipsi mayai chakulla cha mchana unaonja tuu kidogo ahaaaa mayai hayajaiva bado na chipsi zenyewe baridi. Wakati huo iphone wanakikuahidi ugali na maharage kwa chakula cha machana mkuu ukionja tuu da kila kitu kimepikika kisawasawa na chumvi na vitunguu na nyanya yani vimeifanya mboga usikilizie mpaka kichogoni.
 
hebu nambie kitu android ilichocopy kutoka kwa iOS....iOS huwez hata kufanya BT sharing natively,hakuna flash,apps hazitegemean...yaan games tu na wing wa apps ndo naonaga cha maana huko! Dropdown notif. wamecopy toka android,maemo(N900)
 
Nakumbuka Apple walivyokuja na keyless iphone just multouch big playeys back then kina sumsung, HP na motorola wakawa wanawacheka apple wakisema apple wangefeli tuu. Walikuwa wanasema eti watu hawataki touch screens wanataka qwerty pads za kubonjeza. nawao ndo walikuwa wafalme wa soko. Sasa juhudi zao zimeishia kukopi desine ya iphone shape sumsung na HTC wamepelekwa mahakamani karibia kila kona ya maana dunia hii ambayo wanaweza uza bizaa zao na operation ya adroids.

Adroids kama unajua walikuja baada ya apple kuwa success kama mwaka baadae hivi. Na google wao wanatoa software tuu hawatoi simu kwahiyo hawa watoa simu ndo wanakupi kopi tu kile kiletwacho na iphone. Alafu kwavile google wao wanatoa software na watengenezaji wa simu ndo wanaweka kwenye simu zao hapo ndo kunatokea madudu katika kuifanya software kufanya kazi sawasawa na kifaa chenyewe. Kama waweza kupicture some ndo hilo. Drop down notifikation hiyo ilikuwa inakuja ata ukibisha hiyo ni njia ambayo lazima apple wangepitia. Ni sawa na useme Nokia walikuwa na N95 8megapixel 2007 na leo wako wapi hawana vision sasa sijui wanaongozana na microsoft sasa hivi na wote ni kama vipofu kwa mobile computing. Vi mp3 player vyenyewe vimewashinda microsoft wakawaa chia tu apple na ipods. sasa sitashangaa wakimwaga manyanga na nokia.
 
Natumia zote yaani nina sony ericsson xperia x10 na iphone lakini kwangu the best ni iphone kwa sababu android application zzake nyingi unatakiwa uwe online yaani zinatakiwa internet sasa ukiachia 3G muda wote inakula charge balaa unakuta kila siku unachaji simu wakati ios apps zake nyingi unattumia hata ukiwa offline
 
Habari wakuu.
As you might have noticed, i'm a big fan of iPhone na kila kitu kilichokuwa Steve-jobbed. Hivi karibuni Apple wali-release iPhone 4S (iPhone for Steve) ambaye saa hizi amefariki (I wonder kama kwenye jiwe la kaburi lake wameandika iDead).
Sasa basi, kuna mtu alinikuta nikiwa kwenye Steve joblizing (nikiwa namsifia Steve) kupitia iPhone yake. Kaanza kunipinga KATAKATA! Anadai Android ndo kila kitu. Wataalam ndio nyie, mnadhani nani mkali? iPhone au Android?

Nawasilisha.

Me like Iphone e bana nisaidie nashindwa kudownload skype kwenye i phone 4.natumia mtandao wa voda 3G kila nikijaribu inasema nikonnect Wi-fi
 
Back
Top Bottom